Twiga stars baada ya mpambano na shepolopolo
![](http://4.bp.blogspot.com/-y8HBX3UUtH8/Uv_QyaeGDmI/AAAAAAAFNZc/-4-Qd6TPur8/s72-c/unnamed+(26).jpg)
Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA (kati, gauni la njano) na maafisa wake walipokutana na viongozi wa timu ya twiga stars na wachezaji wa timu hiyo kwa chakula cha jioni nyumbani kwa Balozi baada ya mpambano mkali na mgumu uliofanyikana kwenye Uwanja wa Nkoloma jijini Lusaka Zambia. Twiga stars ilifungwa bao 2-1.
Kocha wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage alisema amebaini upungufu katika kikosi chake ambao ataufanyia kazi kabla ya mechi ya marudiano ili timu yake iweze...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTWIGA STARS IMEWIVA, SHEPOLOPOLO YATUA
10 years ago
TheCitizen09 Apr
Shepolopolo arrive to face Twiga Stars in decisive tie
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Kusuka au kunyoa Twiga au Shepolopolo?
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Shepolopolo kutua Dar kuikabili Twiga
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BMkOXfQ7gLc/UvzDWRH4NFI/AAAAAAAFM6U/G6lKWw_CjrU/s72-c/TFF1.jpg)
WIGA STARS YATUA LUSAKA TAYARI KWA MPAMBANO WAO NA ZAMBIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-BMkOXfQ7gLc/UvzDWRH4NFI/AAAAAAAFM6U/G6lKWw_CjrU/s1600/TFF1.jpg)
Kikosi cha wachezaji 19 wa Twiga Stars kimetua Lusaka, Zambia, leo (Februari 13 mwaka huu) huku Kocha Mkuu Rogasian akiahidi ushindani kwenye mechi dhidi ya wenyeji itakayochezwa Uwanja wa Nkoloma.
Kocha Kaijage aliwaambia waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda mara baada ya kikosi chake kutua kwa ndege ya Fastjet saa 3.30 asubuhi kwa saa za Zambia kuwa wamekuja kushindana, na si kushiriki.
Twiga Stars ambayo mara ya mwisho ilikutana na Zambia kwenye...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Twiga Stars yatolewa
11 years ago
TheCitizen14 Feb
Twiga Stars out to down Zambians
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Twiga Stars kibaruani
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Twiga Stars yafungwa Zambia
TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, juzi ilianza vibaya kampeni ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Afrika (AWC), baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Zambia ‘Shepolopolo’...