Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TWIGA STARS IMEWIVA, SHEPOLOPOLO YATUA

Kikosi cha Twiga Stars. Wakati Zambia (Shepolopolo) imewasili leo mchana (Februari 27 mwaka huu), Twiga Stars imesema mazoezi yamewaingia barabara tayari kwa mechi dhidi ya Wazambia hao itakayochezwa kesho (Februari 28 mwaka huu). Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya kwanza ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) itafanyika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi kuanzia saa 10 kamili jioni, na hakutakuwa na kiingilio....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Twiga stars baada ya mpambano na shepolopolo

 Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA (kati, gauni la njano)  na maafisa wake walipokutana na viongozi wa timu ya twiga stars na wachezaji wa timu hiyo kwa chakula cha jioni nyumbani kwa Balozi baada ya mpambano mkali na mgumu uliofanyikana kwenye Uwanja wa Nkoloma jijini Lusaka Zambia. Twiga stars ilifungwa bao 2-1.  Kocha wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage alisema amebaini upungufu katika kikosi chake ambao ataufanyia kazi kabla ya mechi ya marudiano ili timu yake iweze...

 

10 years ago

TheCitizen

Shepolopolo arrive to face Twiga Stars in decisive tie

Zambia’s Shepolopolo jetted into the country yesterday ready for the second leg of the All Africa Games (AAG) against Twiga Stars tomorrow.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kusuka au kunyoa Twiga au Shepolopolo?

Ni kusuka au kunyoa ambapo kitendawili cha timu gani itafuzu kucheza fainali za michezo ya Afrika kwa upande wa soka la wanawake .

 

10 years ago

BBCSwahili

Shepolopolo kutua Dar kuikabili Twiga

Timu ya soka ya wanawake ya Zambia inatarajiwa kuwasili Dar es Salaam Jumatano kwa mechi yake ya marudiano na Twiga Stars.

 

11 years ago

Michuzi

WIGA STARS YATUA LUSAKA TAYARI KWA MPAMBANO WAO NA ZAMBIA


Kikosi cha wachezaji 19 wa Twiga Stars kimetua Lusaka, Zambia, leo (Februari 13 mwaka huu) huku Kocha Mkuu Rogasian akiahidi ushindani kwenye mechi dhidi ya wenyeji itakayochezwa Uwanja wa Nkoloma.
Kocha Kaijage aliwaambia waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda mara baada ya kikosi chake kutua kwa ndege ya Fastjet saa 3.30 asubuhi kwa saa za Zambia kuwa wamekuja kushindana, na si kushiriki.
Twiga Stars ambayo mara ya mwisho ilikutana na Zambia kwenye...

 

11 years ago

TheCitizen

Twiga Stars out to down Zambians

>The national women’s soccer team, Twiga Stars, will be seeking a flying start when they take on Zambia’s Shepolopolo in the 2014 Africa Championship preliminary round, first leg qualifier at Nkoloma Stadium.

 

9 years ago

Mwananchi

Twiga Stars kibaruani

Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, Twiga Stars inalazimika kucheza kufa na kupona leo ili kuhakikisha inapata ushindi dhidi ya Nigeria na kufufua matumaini ya kusonga mbele katika mashindano ya Afrika yanayoendelea Congo Brazzaville.

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars yatolewa

Ndoto ya Tanzania kucheza fainali za Afrika za wanawake mwaka huu zimefutika baada ya Twiga Stars kulazimishwa sare 1-1 na Zambia na hivyo kuondolewa kutolewa kwa jumla ya mabao 3-2 jana kwenye Uwanja Azam Complex.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani