TZ:Polisi wamtafuta mtoto aliyetoweka
Polisi wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa atakayetoa taarifa kuhusu mtoto albino, Pendo Emmanuel aliyetoweka nyumbani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Bibi harusi aliyetoweka apatikana
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Aliyetoweka baada ya kumaliza mbio apatikana
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Arsenal wamtafuta nyota wa Basel
11 years ago
Habarileo06 Mar
Chadema wamtafuta mgombea wa Chalinze
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze, ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho zilianza kutolewa.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CtWI__pSp58/VfcxOxuIiwI/AAAAAAAH4zg/OWwoOd_SIqg/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
msaada tutani: ndugu wamtafuta PAULO DASTAN NYANGUSI aliyeolomea Afrika kusini tokea mwaka 1998
![](http://4.bp.blogspot.com/-CtWI__pSp58/VfcxOxuIiwI/AAAAAAAH4zg/OWwoOd_SIqg/s640/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
Ahsante
Ernest
11 years ago
Habarileo25 Apr
Polisi kizimbani wizi wa mtoto
WATU wawili akiwemo askari Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, wakituhumiwa kuiba mtoto. Mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo konstebo wa Polisi WP 5367 Prisca Isaya (35) mkazi wa Ilala Dar es Salaam na mkazi wa Njisi wilayani Kyela mkoani hapa Salehe Mwangosi (28).
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Polisi wamnasa mtesaji wa mtoto Dar
11 years ago
Habarileo19 Apr
Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa
OFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.