Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubalozi wa US, Saudia wasitisha huduma

Ubalozi wa Marekani kwenye mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh umesitisha huduma zake zote kwa leo jumapili na kesho jumatatu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Muhimbili wasitisha tena huduma za MRI

Wiki moja baada ya kutengamaa kwa mashine ya uchunguzi wa magonjwa ya MRI (Magnetic Resonance Imaging), Hospitali ya Taifa Muhimbili imesitisha kutoa huduma hiyo jleo kutokana na kuharibika kwa kifaa  kimojawapo huku mashine ya CT Scan ambayo ni muhimu zaidi ikiwa bado haijatengamaa.

 

10 years ago

Michuzi

Saudia yaipatia Serikali ya Tanzania zaidi ya Sh. bilioni 45 kuboresha huduma za jamii nchini.

 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Saudia Mhandisi Hassan Al-Attas. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akibadilishana hati ya  mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania waliosaini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA - JAPAN WAPOKEA MSAADA WA MAGARI YA HUDUMA ZA AFYA NA ZIMAMOTO

Balozi wa Tanzania nchini Japan,Mhe. Salome Sijaona amepokea msaada wa magari mawili ya kubeba wagonjwa (Ambulance) na moja la zimamoto yaliyotolewa na mji wa Ibaraki, Japan kwa Serikali ya Tanzania ambao ni msaada kwa Tanzania katika kuboresha huduma za afya na kukabiliana na majanga ya moto.Balozi wa Tanzania nchini Japan,Mh. Salome Sijaona akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Meya wa Mji wa Ibaraki nchini Japan, Yasuhira Kimoto wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya magari...

 

10 years ago

Vijimambo

AFISA WA UBALOZI BI. SWAHIBA AFANIKISHA HUDUMA YA KUONGEZA MUDA PASI ZA KUSAFIRIA SEATTLE, WA

Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Seattle wakipata picha ya kumbukumbu na Afisa wa Ubalozi Bi. Swahiba (aliyekaa kwenye kiti) alipokua Seattle jimbo la Washington kwa ajili ya kutoa huduma ya kuongeza muda kwa pasi za kusafiria za Watanzania wanaoishi jimbo hilo na majimbo jirani.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Seattle, Bwn. Mutta na familia yake wakisaidiwa na Afisa Ubalozi Bi. Swahiba jinsi ya kujaza fomu na utiaji wa alama za vidole kwenye karatasi kwa ukamilishaji wa kuongezeza muda...

 

10 years ago

Michuzi

MIJI YA JAPAN YAZIDI KUITIKIA WITO WA UBALOZI NA KUTOA MISAADA ZIADI YA MAGARI YA HUDUMA

Baada ya Mji wa Ibaraki kutoa magari mawili ya kubeba wagonjwa na moja la huduma ya zimamoto mwezi Februari, 2015, Miji mingine ya Japan nayo imeunga mkono jitihada hizo. Pichani Mhe. Salome Sijaona, Balozi wa Tanzania Japan na Mhe. Toshima Suzuki, Meya wa Mji wa Tochigi wakionyesha mkataba wa makubaliano wa msaada wa magari 10 ya huduma, gari 6 ni kwa ajili ya Zimamoto na 4 kubeba Wagonjwa. Gari mbili (moja la wagonjwa na moja la huduma ya zimamoto) zimetolewa Machi 24 na mji huo kwa mwaka...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wafanyabiashara wasitisha mgomo


NA WAANDISHI WETU
BIASHARA katika Jiji la Dar es Salaam, zimeanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya juzi baadhi ya wafanyabiashara wa maduka kugoma na kuyafunga, wakipinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFD).
Mgomo huo uliodumu kwa saa kadhaa, ulileta usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi waliofika kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali, hususan maeneo ya Kariakoo.
Hata hivyo, wafanyabiashara hao walisitisha mgomo huo baada ya kufikiwa kwa maazimio...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wasitisha kampeni saa 24

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umetangaza kusitisha kampeni zake kwa saa 24 ili kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa umoja huo, Dk Emmanuel Makaidi, ambaye anazikwa leo jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi wa Myanmar wasitisha vita

Waasi katika jimbo la Kokang nchini Myanmar,ambao wamekuwa wakikabiliana na majeshi ya serikali wamesitisha mapigano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani