Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ubinafsi unaliangamiza taifa’

IMEELEZWA kuwa tamaa, ubinafsi na kutojali maslahi ya taifa ndiyo chanzo cha nchi kuwa katika hatari ya kuvurugika. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar esSalaam jana na Kiongozi wa Huduma ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'NGO's Kilimanjaro acheni ubinafsi'

BODI ya Taifa ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO's) imeeleza kutoridhishwa na uhusiano mbovu baina ya mashirika hayo mkoani Kilimanjaro. Imesema hali hiyo inasababisha Bodi kukosa mjumbe wake kitaifa kutoka mkoani humo.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi

Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.

Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...

 

11 years ago

Habarileo

'Watanzania acheni tamaa, ubinafsi'

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuachana nxa ubinafsi kwa kuridhika na walichonacho. Pia, ametaka Watanzania kujiepusha na tamaa ya kile kidogo walichonacho watu wasio na uwezo.

 

10 years ago

Mtanzania

Sumaye akemea rushwa, ubinafsi

sumayeNA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema lawama zinazotolewa na wananchi nchini zinatokana na kukithiri kwa rushwa, ufisadi, ubinafsi na uwepo wa biashara za dawa za kulevya hapa nchini.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, wakati wa maadhimisho ya siku ya kazi ya Chuo cha Ustawi wa Jamii (IST).

“Binadamu wenye uzalendo na maadili mema wanawajali wenzao na hawawezi kuangamiza maisha ya wengine, wakiwamo vijana kwa kufanya biashara ya dawa za kulevya...

 

11 years ago

Habarileo

Padre: Wabunge acheni ubinafsi

WABUNGE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutambua kwamba karama na uwezo waliopewa ni kwa ajili ya kuandaa Katiba mpya ya kuipeleka Tanzania kwa miaka zaidi ya 50 ijayo na siyo kujikita katika maslahi yao binafsi.

 

11 years ago

Mwananchi

Sumaye ataka Watanzania kuacha ubinafsi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuacha ubinafsi na kujitolea kwa jamii katika kukabiliana na majanga ya njaa, mazingira, maji na elimu ambayo yamekuwa ni chanzo cha pengo kati ya tabaka la matajiri na masikini nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Bima nchini watakiwa kuacha ubinafsi

 Kampuni za bima nchini zimeaswa kuacha ubinafsi kama njia itakayoziwezesha kuongeza mitaji na hatimaye kufanya biashara kimataifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ubinafsi wa wabunge umezaa milioni 160/-

MOJA ya taarifa iliyonishtua ni ya wabunge kupata kiasi cha sh milioni 160 kila mmoja kama fao lililotengwa na Hazina tangu mwaka jana. Wabunge wamejiongezea asilimia 272 ya kiinua mgongo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge kutaka wapewe ulinzi ni ubinafsi uliokithiri!

HAPANA! Wanasema ni ulevi wa madaraka. Lakini nini kimesababisha ulevi huu jamani? Nasikia sasa kuna mbunge keshaona ya ulimwengu huu aliyonayo hayamtoshi sasa anataka apewe ulinzi. Ebo! Kwani yamekuwa hayo sasa kwa wabunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani