UBONGO WA KAJALA WAPATA TATIZO
![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXRoql34z*fHJLwb0-yyMU3C06CGcBhqeWTscSG4GSf2UWdxj2U26AeQmRaPwYIw*n3F37ajtZyzZuNBznAMRIm4/770.jpg?width=650)
Imelda mtema Maskini Kajala! Ndivyo unavyoweza kusema ukisikia mkasa wa staa wa kiwango cha juu kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, ambaye anadaiwa kwa hivi sasa hayuko sawa kiafya baada ya kupigwa chupa kichwani akiwa katika shoo ya kumchangia mke wa msanii Mabeste iliyofanyika New Maisha Club, Masaki jijini Dar. Kajala Masanja akionekana na jeraha usoni kipindi ambacho alikua amepigwa chupa....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Makengeza: Tatizo la ubongo lenye tiba ila jamii inapuuzia
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Kuzeeka ubongo, kaswende vyaweza kuwa chanzo cha tatizo la kutetemeka mikono
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*qlVZiDayE6lY4xUsmqS4YkFZgXqpTg1BGYxKAFKejVpX2zPJ5S0YDZAeXN0TsmjWiH5jtu*G7vjaDAr-sLWqWC/kinana.jpg?width=650)
SINA TATIZO NA MAWAZIRI MZIGO NINA TATIZO NA CCM
10 years ago
Michuzi11 Apr
TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
11 years ago
Mwananchi17 Jul
‘Tatizo la kutonufaika na madini, tatizo ni viongozi si wawekezaji’
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Matumaini ya tiba ya ubongo!
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Binzari ya manjano kutibu ubongo?