Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAFU BARABARANI

Taswira mbalimbali zikionyesha baadhi ya takataka zikiwa pembezoni mwa barabara ya Shekilango, maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam. KATIKA hali isiyo ya kawaida kamera jana jioni…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU‏

Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.  Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...

 

11 years ago

GPL

UCHAFU WA WEMA, AUNT

Na  Imelda Mtema
Uchafu! Picha za madiva wakubwa wa filamu Tanzania, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson zimebambwa na gazeti hili hivi karibuni wakiwa katika hali ya kimalavidavi licha ya kwamba, mmoja ni mke wa mtu, mwingine mchumba. Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu, ishu hiyo ilichukua nafasi maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam ambako Wema na Aunt wamepiga kambi kwa ajili ya filamu yao mpya ya Familia. Ilidaiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Masikini akifananishwa na uchafu

KILIO na maneno yao ya kuomboleza yalifanana mithiri ya watu walioambizana kuimba wimbo mmoja hata kama hawakujuana. Wa kwanza alikuwa mwanaume, huyu alikuwa akilia kwa uchungu huku akiwauliza askari wale...

 

9 years ago

Habarileo

RC akerwa na uchafu Tanga

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza amesema haridhishwi na kiwango cha usafi wa mazingira katika mitaa ya jiji la Tanga licha ya halmashauri hiyo kupongezwa kwa kushika nafasi ya pili kwa usafi hapa nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafu ni utamaduni wa Watanzania?

SERIKALI ni nini? Ni chombo kikuu kabisa chenye madaraka ya kuendesha utawala  wa nchi, chenye wizara mbalimbali. Serikali ni nani? Ni mimi, wewe na yule. Ni watu; na watu ni...

 

9 years ago

Mtanzania

Kardashian: North ‘kaposti’ uchafu

Kim-KardashianNEW YORK, MAREKANI

MWANAMITINDO wa Kimarekani, Kim Kardashian, amemtupia lawama mtoto wake, North West, mwenye umri wa miaka miwili, kwa kitendo cha kuweka picha ya mrembo huyo ikiwa haionyeshi maadili kwa jamii kwenye mtandao wa Instagram.

Mtoto huyo alikuwa hajui alitendalo ambapo alijikuta akiweka picha ya mama yake wakati akiwa na umri wa miaka 10.

Hata hivyo, baada ya mama yake kugundua aliamua kuitoa haraka iwezekanavyo baada ya kuanza kupokea ujumbe kutoka kwa watu...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Miji mikubwa na kukithiri na uchafu

UBORESHAJI hafifu wa mitaro ya maji taka na taka ngumu katika barabara za miji na majiji nchini, zimebainika kuchangia kwa kiasi kikubwa kuziba kwa mitaro hiyo, madaraja na kuharibu kingo za mito hali inayopelekea kuwepo kwa matokeo mabaya ya mafuriko mvua zinaponyesha.

Uchunguzi unaonyesha kwamba uzalishaji wa taka katika miji na majiji nchini hauendi sambamba na kuzitunza taka hizo, kwani katika maeneo mengi mijini, taka zimekuwa zikizagaa licha ya kuwa taka hizo zinageuzwa kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Walalamikia uchafu kituoni Mbagala

Baadhi ya watumiaji wa Kituo cha Mabasi yanayokwenda katika Mikoa ya Kusini cha Mbagala Rangitatu, wamelalamikia uchafu na majitaka yaliyotuama katika eneo hilo kwa kipindi kirefu sasa.

 

10 years ago

GPL

OFM YAFICHUA UCHAFU WA KUTISHA

WAandishi Wetu INATISHA! Hivi ndivyo unavyoweza kusema mara tu unapofika katika hospitali ya serikali ya Kijitonyama, iliyopo Sinza Mapambano jijini Dar es Salaam kwani kuna uchafu mwingi unaoenda tofauti kabisa na mazingira yanayostahili katika kituo hicho cha huduma za afya, Risasi Mchanganyiko linakuthibitishia.  .....Soma zaidi===>http://bit.ly/1J2DooD ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani