Uchaguzi:Mchango wa vibonzo Tanzania
Vibonzo hupasha habari kwa urahisi kwa namna yenye kuvutia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Mchango wa vibonzo katika uchaguzi Tanzania
Vibonzo vimekuwa chachu kubwa sana katika upashaji habari haswa wakati huu wa uchaguzi nchini Tanzania.
9 years ago
Vijimambo12 Oct
MCHANGO WANGU WA MAWAZO KWA WA TANZANIA WAKATI HUU WA UCHAGUZI WA 2015.
![](http://www.kwanzaproduction.com/wp-content/uploads/2014/09/cooltext1706975807.png)
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Kipanya:Vibonzo na siasa za Tanzania
Vibonzo vimechangia katika siasa hasa wakati wa kampeni za uchaguzi,vibonzo hivyo vyenye taswira ya masihara huwalenga wanasiasa
9 years ago
Michuzi19 Oct
KIPANYA AKIHOJIWA NA BBC: VIBONZO NA SIASA TANZANIA
Kuna mahojianomtangazaji wa BBC-Dia ya Dunia Zuhura Yunus na Masoud Kipanya kuhusu mchango wa Vibonzo kwenye uchaguzi.
Masoudkipanya-vibonzo Zuhura Yunus akiwa jijini Dar es salaam alizungumza na miongoni mwa wachoraji maarufu wa vibonzo nchini Tanzania hasa za kisiasa, maarufu Masoud Kipanya na mwanzo akitaka kujua huwa anafkiria nini kabla hajachora kibonzo.BOFYA HAPA KUONA NINI WALIZUNGUMZA.
Masoudkipanya-vibonzo Zuhura Yunus akiwa jijini Dar es salaam alizungumza na miongoni mwa wachoraji maarufu wa vibonzo nchini Tanzania hasa za kisiasa, maarufu Masoud Kipanya na mwanzo akitaka kujua huwa anafkiria nini kabla hajachora kibonzo.BOFYA HAPA KUONA NINI WALIZUNGUMZA.
10 years ago
Michuzi22 Sep
10 years ago
Vijimambo03 Mar
MCHANGO WA SEKTA YA MADINI: TANZANIA IJAYO (2015-2035)
![](http://www.mtizamohuru.co.tz/wp-content/uploads/2014/03/Prof-S-Muhongo.jpg)
Pato la mtu mmoja mmoja kwa mwaka (GDP per capita) nchini Bostwana ni US$ 7,120 (IMF, 2013). Michango ya ki-sekta kwa GDP ya Botswana ni kama ifuatavyo: Sekta ya Huduma (Services,...
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Tusisubiri CNN wataje mchango wa Tanzania Kusini mwa Afrika
Wakati dunia bado ingali kwenye maombelezo ya shujaa wa Afrika, Mzee Nelson Mandela, tunashuhudia ukimya wa vyombo vya habari vya kimagharibi katika kuutambua mchango wa Tanzania kwenye harakari za kupigania ukombozi wa nchi za Afrika.
11 years ago
MichuziCRDB YAKABIDHI MCHANGO WAKE KWA UBALOZI WA TANZANIA NCHI MAREKANI
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye kikao cha makabidhiano ya mchango wa CRDB kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano itakazoadhimishwa kitaifa Washington, DC April 26, 2014 CRDB kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ilimkabidhi Mhe. Liberata Mulamula fedha taslimu za Kimarekani...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WmnZ-wWzybc/U_DDSaypZ1I/AAAAAAAGARg/aaN6fbS0QpA/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
SADC yaishukuru Tanzania kwa mchango wa ukombozi na kumpongeza Mzee Hashim Mbita
![](http://2.bp.blogspot.com/-WmnZ-wWzybc/U_DDSaypZ1I/AAAAAAAGARg/aaN6fbS0QpA/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania