Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchunguzi Bomu Zanzibar

Polisi Zanzibar wamesema taarifa za raia ni mhimu kipindi hiki cha uchunguzi wa shambulio la Bomu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Polisi Singida yatoa taarifa ya uchunguzi wa bomu.

Na Emmanuael Michael,

Singida.

Polisi Mkoani Singida imetoa taarifa rasmi juu ya uchunguzi wa mlipuko unaosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa kienyeji, uliotokea hivi karibuni nyumbani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Halima Mpita na kusababisha madhara na hofu kubwa.

 

Uchunguzi huo wa mtaalamu wa milipuko kutoka Jeshi la Wananchi JWTZ Jijini Arusha umebaini kuwa, ingawa lengo lilikuwa kufanya mauaji lakini utengezaji wake haukukamilika vyema wala kufikia hatua...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchunguzi wachelewesha kesi Zanzibar

Kesi ya mauaji dhidi ya raia wawili wa Ufaransa imekwama kuanza kusikilizwa kwa miezi minane sasa, baada ya upande wa mashtaka kuendelea na madai ya kutokamilika kwa ushahidi wa kesi hiyo.

 

11 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR

HABARI ambazo mtandao huu umezipata sasa hivi kutoka Zanzibar zinasema kuna mlipuko umetokea Zanzibar karibu na Kanisa la Anglikana. Polisi wameshafika eneo la tukio na madhara yake bado hayajajulikana. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

 

11 years ago

Habarileo

Waliolipua bomu Zanzibar kunaswa

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame SilimaSERIKALI imesema ina uwezo wa kuwakamata wale wote waliohusika katika shambulizi la bomu, lililosababisha kifo na kujeruhi wengine saba mwishoni mwa wiki iliyopita, mjini Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu laua mmoja Zanzibar

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana katika eneo la Darajani, muda mfupi baada ya kuhudhuria mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na Sheikh Kassim Mafuta Kassim (38) mkazi wa Pongwe mkoani Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA Z-NCDA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI ZANZIBAR

Na Faki Mjaka - Maelezo Zanzibar
Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) inatarajia kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi Agosti 30-31 mwaka huu.
Uzinduzi huo utafanyika katika Kituo cha Afya Mpendae mjini Zanzibar ambapo Wanawake wenye dalili za Maradhi hayo watafanyiwa uchunguzi bure kituoni hapo.
Akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini kwao Mpendae, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ali Mansour Vuai amesema lengo la uchunguzi huo ni kuisaidia Serikali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Zanzibar;Bomu lamuua mtu mmoja

Mtu mmoja ameripotiwa kufariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulizi la bomu kisiwani Zanzibar.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bomu lauwa mmoja mjini Zanzibar

Bomu linaloarifiwa kuwa la misumari limeripuliwa Zanzibar wakati wageni wengi wamekusanyika mjini humo kwa shughuli mbili kubwa

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka Zanzibar,mmoja afa saba wajeruhiwa

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Muhamed Khatib Mkombalaguha amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani