Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar;Bomu lamuua mtu mmoja

Mtu mmoja ameripotiwa kufariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulizi la bomu kisiwani Zanzibar.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bomu laua mmoja Zanzibar

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana katika eneo la Darajani, muda mfupi baada ya kuhudhuria mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na Sheikh Kassim Mafuta Kassim (38) mkazi wa Pongwe mkoani Tanga.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bomu lauwa mmoja mjini Zanzibar

Bomu linaloarifiwa kuwa la misumari limeripuliwa Zanzibar wakati wageni wengi wamekusanyika mjini humo kwa shughuli mbili kubwa

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka Zanzibar,mmoja afa saba wajeruhiwa

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Muhamed Khatib Mkombalaguha amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana.

 

9 years ago

Michuzi

mtu mmoja anusurika katika ajali ya gari eneo la Kibele, Zanzibar, leo

 Mtu mmoja amenusurika kifo kufuatia ajali ya gari alilokuwa anaendesha mchana huu kwenye milango ya saa 8.10. katika kijiji cha Kibele, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva huyo ambaye alishindwa kuidhibiti gari ndogo aina ya Toyota Spacio yenye namba za usajili Z 511 FG na gari  kuacha barabara na kugonga mnazi ambao uliangukia gari na baadae gari kuwaka moto. Dereva huyo, ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, alitolewa ndani ya...

 

5 years ago

Michuzi

UVUTAJI WA TUMBAKU UNA ATHARI KIUCHUMI WA MTU MMOJA MMOJA ANAYETUMIA


Na WAMJW-Dodoma

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako hatarini kuyumba kiuchumi na kupata magonjwa yasiyoambukizwa kama tahadhari hazitachukuliwa mapema.

Waziri Ummy amesema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa matumizi ya tumbaku kwa watu wazima wa mwaka 2018 nchini uliofanyika mapema leo katika Ukumbi wa Takwimu jijini Dodoma.

Waziri Ummy amesema utafiti huo umeonesha...

 

11 years ago

CloudsFM

MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI

Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.

Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja amechinjwa Ufaransa

Mtu mmoja amechinjwa na mwengine akajeruhiwa vibaya baada ya shambulizi la kiislamu katika mji wa Lyon Ufaransa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura

Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.

 

11 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya AU yaua mtu mmoja CAR

Majeshi ya Umoja wa Afrika yamewafyatulia risasi waandamanaji katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na kumuua mtu mmoja

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani