Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomu lauwa mmoja mjini Zanzibar

Bomu linaloarifiwa kuwa la misumari limeripuliwa Zanzibar wakati wageni wengi wamekusanyika mjini humo kwa shughuli mbili kubwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Bomu kwenye mkahawa wa Kabul lauwa wengi

Shambulio la kujitolea mhanga katika mji mkuu wa Afghhanistan, Kabul, umeuwa wageni wengi wa mashirika ya kimataifa

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu laua mmoja Zanzibar

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana katika eneo la Darajani, muda mfupi baada ya kuhudhuria mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na Sheikh Kassim Mafuta Kassim (38) mkazi wa Pongwe mkoani Tanga.

 

11 years ago

BBCSwahili

Zanzibar;Bomu lamuua mtu mmoja

Mtu mmoja ameripotiwa kufariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulizi la bomu kisiwani Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka Zanzibar,mmoja afa saba wajeruhiwa

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Muhamed Khatib Mkombalaguha amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

CloudsFM

MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI

Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.

Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchunguzi Bomu Zanzibar

Polisi Zanzibar wamesema taarifa za raia ni mhimu kipindi hiki cha uchunguzi wa shambulio la Bomu

 

11 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR

HABARI ambazo mtandao huu umezipata sasa hivi kutoka Zanzibar zinasema kuna mlipuko umetokea Zanzibar karibu na Kanisa la Anglikana. Polisi wameshafika eneo la tukio na madhara yake bado hayajajulikana. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

 

11 years ago

Habarileo

Waliolipua bomu Zanzibar kunaswa

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame SilimaSERIKALI imesema ina uwezo wa kuwakamata wale wote waliohusika katika shambulizi la bomu, lililosababisha kifo na kujeruhi wengine saba mwishoni mwa wiki iliyopita, mjini Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

MLIPUKO WA BOMU WATOKEA ENEO LA MKUNAZINI HUKO ZANZIBAR

 Eneo ambalo limeharibika kwa kuchimbika na kitu kinachozaniwa ni mlipuko wa bomu uliotokea Jumatatu mchana katika eneo la Mkunazini mjini Zanzibar. Hakuna mtu aliyepata maadhara na hakuna uharibifu wa majengo katika eneo hilo.   
 Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Mhe. Abdi Mahmoud Mzee akizungumza naKiongozi wa Kanisa la Mkunazini, Ndg. Nuhu Salanya, na Maofisa wa JWTZ , katika eneo la tukio  alipofika katika eneo la tukio kuangalia athari na uharibifu uliotokea.
Mkuu wa Wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani