Ufukwe wa Oysterbay Dar kuendelezwa
BENKI ya Maendeleo ya TIB na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, zimeingia makubaliano ya kuuendeleza ufukwe wa Oysterbay maarufu Coco Beach. Mradi huo uliopewa jina la ‘Oysterbay Beach Development’ unalenga kuufanya ufukwe huo kuwa wa kisasa na hivyo kuchangia uchumi wa Manispaa hiyo na nchi kwa ujumla.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Yi-XfVF4dOE/XnJL-jaaaWI/AAAAAAALkU4/hBg6ivTFlgcPD8qGLrqHGX8_39t_NmkAgCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
KATIBU MKUU CHRISTOPHER KADIO, APOKEA TAARIFA YA UKAGUZI MRADI WA DAR CITY UNAOHUSISHA UJENZI WA NYUMBA ZA MAAFISA WA POLISI OYSTERBAY, KIJITONYAMA NA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
![](https://1.bp.blogspot.com/-Yi-XfVF4dOE/XnJL-jaaaWI/AAAAAAALkU4/hBg6ivTFlgcPD8qGLrqHGX8_39t_NmkAgCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-HChpUr1rla8/XnJL_mIKIwI/AAAAAAALkU8/zVi-NrGMzyQfX56Z8dW0C3kADpiabL5aQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B2.jpg)
11 years ago
GPLWATOTO WAJIACHIA UFUKWE WA COCO JIJINI DAR
10 years ago
GPLUFUKWE WA COCO BEACH DAR WAFURIKA WATU BURUDANI ZA X-MAS
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Xpoy3rjWfyQ/Vap8tvdwQhI/AAAAAAAAtWg/fkdOtMpxroQ/s72-c/IMG-20150718-WA0017.jpg)
Wakazi wa Dar wakiisherehea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-Xpoy3rjWfyQ/Vap8tvdwQhI/AAAAAAAAtWg/fkdOtMpxroQ/s640/IMG-20150718-WA0017.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-K50T5vJFsI8/Vap8x_uJrqI/AAAAAAAAtWo/YPMnjM1_UUE/s640/IMG-20150718-WA0021.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-N5naOI7_jG8/Vap82E15saI/AAAAAAAAtWw/OHpUL_vgubU/s640/IMG-20150718-WA0016.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-46qsCQBwD3Q/Vap82-kIG_I/AAAAAAAAtW4/KZjJf6IIc6U/s640/IMG-20150718-WA0015.jpg)
11 years ago
TheCitizen22 May
Oysterbay cricketers conquer Dar schools
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Rotary Dar Oysterbay yatoa matibabu bure Kerege
KLABU ya Rotary ya Dar es Salaam Oysterbay kupitia miradi ya huduma kwa jamii yenye lengo la kuboresha afya, imetoa matibabu ya bure kwa wakazi zaidi ya 700 wa Kijiji...
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Pop Up Bongo kufanyika Jumamosi hii Triniti Oysterbay Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-hFJp_lVmeIc/VlP8Zq0exnI/AAAAAAAAL80/LWjmojgQGi8/s640/Mbili.jpg)
Nuya Essence.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_INDtSQ1jpE/VlP8aQISA6I/AAAAAAAAL88/HJngUSr5Hfo/s640/Moja.jpg)
Founder of Branoz Collection Bahati Abraham with customers.
![](http://4.bp.blogspot.com/-SqT2ohdtK54/VlP8bXkLpfI/AAAAAAAAL9E/KM6BASJWO2s/s640/nne.jpg)
Secret Habits Seller servings customers.
![](http://4.bp.blogspot.com/--C0fLaJhH3k/VlP8ZTwD8lI/AAAAAAAAL8w/Sbsq9VsD_6c/s640/Tatu.jpg)
Pediah John, Founder of PSJ Brand with customers.
Na Mwandishi Wetu
WASANII mbalimbali wa muziki na maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oysterbay katika tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo.
Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hFJp_lVmeIc/VlP8Zq0exnI/AAAAAAAAL80/LWjmojgQGi8/s72-c/Mbili.jpg)
POP UP BONGO KUFANYIKA JUMAMOSI HII TRINITI OYSTERBAY DAR ES SALAAM
Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya udhamini wa kinywaji cha Smirnoff. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Akizungumzia kuhusiana na tamasha hilo mmoja kati ya waanzilishi wake, Natasha Stambuli alisema kuwa milango...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Kigamboni sasa kuendelezwa na wananchi wenyewe-Lukuvi
MJI mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam sasa utaendelezwa kwa sehemu kubwa na wakazi wa Kigamboni wenyewe, Bunge la Jamhuri linaloketi mjini Dodoma limeelezwa.