Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uganda kuwagawanyia raia wake radio na televisheni

Serikali ya Uganda inapanga kutumia dola 100 milioni, kununua redio milioni 10 na televisheni 140 elfu, kugawanywa vijijini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TCRA YAKITOZA FAINI KITUO CHA TELEVISHENI CHA CLOUDS TV NA RADIO CLOUDS FM KWA KUKIUKA MAUDHUI YA UTANGAZAJI

Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Margaret Munyagi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Agosti 22, 2014 jijini Dar es Salaam, wakati akisoma maamuzi yaliyofikiwa na Mamlaka hiyo kuhusu shauri la ukiukaji wa kanuni za utangazaji namba 5/2014 dhidi ya Kituo cha Televisheni cha Clouds na Kituo cha Clouds Intertainment FM Radio cha Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati hiyo, Bgoya Walter.Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Uganda kupewa mafunzo ya kijeshi

Museveni ameviagiza vikosi vya usalama kutoa mafunzo ya kijeshi kwa raia kwa lengo lakupigana vita dhidi ya kundi la kigaidi la Al Shabaab.

 

9 years ago

MillardAyo

Radio kutoka Uganda ametuletea hii video mpya ‘ Nkwagala’ itazame hapa….

Radio kutoka Uganda amerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia Video yake mpya inayoitwa ‘Nkwagala’ iliyoongozwa na Jahlive Films. Unawea ukabonyeza play kuitazama hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na […]

The post Radio kutoka Uganda ametuletea hii video mpya ‘ Nkwagala’ itazame hapa…. appeared first on...

 

5 years ago

Michuzi

Rwanda yasitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda

Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda imetangaza kuwa, nchi hiyo imesitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda waliokamatwa nchini humo.

Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya kuachiliwa huru raia 13 wa Rwanda waliokuwa wanashikiliwa nchini Uganda.

Taarifa hiyo imesema kupitia ubalozi wake mjini Kampala, serikali ya Rwanda imekaribisha kuachiwa huru kwa raia wake 13 na kurejeshwa Rwanda watuhumiwa wawili wa ugaidi waliohusika na shambulizi la Kinigi lililotokea Oktoba mwaka 2019.

Mapema mwezi...

 

9 years ago

Michuzi

RADIO 5 YAWAUNGANISHA PSPF NA WADAU WAKE

Wapili kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa kijamii wa PSPF Adam Mayingu ,kulia ni Afisa mahusiano wa mfuko huo Bw.Abdul Njaidi akifatiwa na meneja Masoko na Mahusiano wa Radio 5 Bi.Sarah Keiya pamoja na Meneja Biashara wa kituo hicho Bi.Angela MainaKampuni ya Tana Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5  pamoja na mfuko wa kijamii wa PSPF imewafikia wadau wa mfuko huo kwa kuwapa elimu kupitia kipindi cha “Good-Morning TanzaniaMkurugenzi mkuu wa mfuko huo Bw.Adam Mayingu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Radio 5 yaunganisha PSPF na wadau wake!

55dd7e4e-8e41-4e4c-99f3-4860efdd3ffa

Wapili kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa kijamii wa PSPF Adam Mayingu, kulia ni Afisa mahusiano wa mfuko huo Bw.Abdul Njaidi akifatiwa na meneja Masoko na Mahusiano wa Radio 5 Bi.Sarah Keiya pamoja na Meneja Biashara wa kituo hicho Bi.Angela Maina.

Wapili kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa kijamii wa PSPF Adam Mayingu, kulia ni Afisa mahusiano wa mfuko huo Bw.Abdul Njaidi akifatiwa na meneja Masoko na Mahusiano wa Radio 5 Bi.Sarah Keiya pamoja na Meneja Biashara wa kituo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Raia wanne wa kigeni walioingia na mafua Uganda watengwa

Wizara ya Afya Uganda kuwataga wageni wanaoingia nchini kutoka mataifa yaliyoathirika na coronavirus kwa siku 14

 

5 years ago

BBCSwahili

Makubaliano kati ya Kagame na Museveni: Serikali ya Uganda yawaachilia raia 13 wa Rwanda

Serikali ya Uganda imewaachia huru raia wengine 13 wa Rwanda waliokuwa wamezuiliwa katika mahabusu zake wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini Uganda imewafurusha raia 22 wa kigeni waliowasili kwa kongamano la kibiashara

Maafisa wa wizara ya afya nchini Uganda siku ya Jumapili wamesema kwamba takriban raia 22 wa kigeni watarudi katika mataifa yao huku hofu ya maambukizi ya virusi vya corona ikiendelea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani