Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UGUMU WA LOWASSA KUPENYA NI HUU

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa. Na Hashim Aziz VUGUVUGU la watangaza nia ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchuana kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa rais, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu linazidi kuwa kubwa kila kukicha. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1BGne42

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NAPE: CCM haitaruhusu wanunua urais kupenya uchaguzi mkuu wa mwaka huu

A

MTUME na Nabii wa Kanisa la EFATHA Josephat Mwingira akimlaki kwa furaha, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipowasili katika ukumbini, kutoa mada kuhusu nafasi ya CCM na uhusiano wa CCM katika jamii, kwnye semina ya wachungaji wa kanisa hilo wa ndani na nje ya Tanzania, inayoendelea Kibahaka mkoa wa Pwani. Watatu kulia ni Mama Eliakunda Mwingira.

AA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitoa mada kwenye semina hiyo.

> . Asema wanapoteza muda na pesa zao

>. Awataka...

 

9 years ago

GPL

UGUMU WA LOWASSA KUINGIA IKULU

Na Mwandishi Wetu WAKATI wafuasi wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa) wakiwa na shangwe kutokana na kumpata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kama mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, ugumu wa kiongozi huyo kuingia ikulu umebainishwa, Uwazi lina habari kamili.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1IYZQ26 ...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Asema Umri Umemtupa Mkono Kupenya Kimataifa!

Muigizaji mkongwe na muongozaji wa filamu hapa Bongo, ambae pia ni mkurugezi wa kamputi ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem, Jacob stephen 'JB' ameyasema hayo alipokuwa akijibu baadhi ya maswali ya mashabiki wake ambao ambao walikuwa wanataka wamuone JB akifanya kazi na wasanii wakimataifa ili kufanya tasnia yaetu ya filamu kupanuka kimataifa. JB alisema ;

“Jana nilikuwa najibu maswali ya wadau wa jerusalem.wengi wanapenda kuniona kimataifa.niliahidi kulijibu leo...ndugu zangu kwanza...

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa, huu ni ‘muziki mkubwa’ -Msukuma

MWENYEKITI wa CCM mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemvaa mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa na wengine waliohamia Ukawa akisema wanashukuru chama kimetua mzigo.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Huu ni wakati wetu wa kukimbia

NA MWANDISHI WETU, TABORA

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kukimbia kwa kasi ili kukabiliana na changamoto za maendeleo ya kisanyansi duniani.

Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli (CCM), aliyasema hayo jana alipokuwa akihutubia katika sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu na miaka 40 ya upadri ya Askofu Paul Ruzoka wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Kwa mujibu wa Lowassa, elimu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi na kwamba njia sahihi ya...

 

10 years ago

GPL

KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU

Na waandishi Wetu NIkweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na kupewa fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho, ukweli wa jambo hilo umeibuliwa, Uwazi linakupa zaidi. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1N6u2sS...

 

9 years ago

Vijimambo

Ukweli elimu bure ya Lowassa huu hapa.

Ahadi aliyoitoa mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), ya kutoa elimu ya Chuo Kikuu bure inaweza kugharimu Taifa kiasi cha Sh. trilioni 1.35($675millioni) kwa mwaka, Nipashe limebaini.

Lowassa katika uzinduzi wake wa kampeni alitoa ahadi ya kutoa elimu bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu iwapo atachaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano-hali iliyozua ubishi kutoka kwa Chama Cha Mapinduzi.

Baadhi ya vigogo wa CCM wanadai ni ndoto kutoa elimu bure kwa kuzingatia hali...

 

9 years ago

GPL

CCM; HUU SI WAKATI WA KUMSEMA LOWASSA NI WA MABADILIKO

RAIS wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kuwaambia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa, wananchi wanataka mabadiliko, akasema wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Maneno haya ya Mwalimu ni nguzo ya CCM, kwamba uhai wa chama hicho hautatokana tena na ukongwe wake bali mfumo wa mabadiliko ambao rais wa kwanza aliuona kuwa ndiyo kiu ya wananchi wengi hivi sasa. Kiu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani