JB Asema Umri Umemtupa Mkono Kupenya Kimataifa!
Muigizaji mkongwe na muongozaji wa filamu hapa Bongo, ambae pia ni mkurugezi wa kamputi ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem, Jacob stephen 'JB' ameyasema hayo alipokuwa akijibu baadhi ya maswali ya mashabiki wake ambao ambao walikuwa wanataka wamuone JB akifanya kazi na wasanii wakimataifa ili kufanya tasnia yaetu ya filamu kupanuka kimataifa. JB alisema ;
“Jana nilikuwa najibu maswali ya wadau wa jerusalem.wengi wanapenda kuniona kimataifa.niliahidi kulijibu leo...ndugu zangu kwanza...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 Nov
Halima Mdee amkana Mkono asema hakulishwa sumu
![](http://polis.parliament.go.tz/images/Pictures/1339.jpg)
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono kusema amelishwa sumu akiwa London, Uingereza, Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee amemtaka kusema ukweli na si kulihadaa Taifa kwa uongo.Mkono akizungumza na waandishi wa habari juzi kuelezea mwenendo wa afya yake, alisema lengo la kulishwa sumu ilikuwa ni kutaka kuharibu figo zake ndani ya saa 72 kitendo kilichoshindikana.Mdee aliyekuwa na Mkono katika ziara hiyo alisema:...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ILvs5R2vL9M/VM8eP9PblWI/AAAAAAAAF74/tvwGxlq3-Fw/s72-c/diamond%2Bplatnumz%2Bna%2Bzarir.jpg)
Zari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!
![](http://4.bp.blogspot.com/-ILvs5R2vL9M/VM8eP9PblWI/AAAAAAAAF74/tvwGxlq3-Fw/s640/diamond%2Bplatnumz%2Bna%2Bzarir.jpg)
5 years ago
BBCSwahili16 Feb
Pele: Mchezaji maarufu wa soka nchini Brazil asema hali yake afya ni jambo la kawaida kwa watu wenye umri kama wake
9 years ago
Habarileo17 Oct
Yanga sasa kimataifa zaidi, asema Manji
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji amesema malengo ya Yanga wakati ujao ni kufanya vizuri katika mashindano ya Afrika na sio kuifunga Simba peke yake kama ambavyo imekuwa hivyo.
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/30.jpg)
UGUMU WA LOWASSA KUPENYA NI HUU
9 years ago
Bongo528 Sep
Master J asema tuzo za kimataifa wanazopata wasanii wa Tanzania haziwanufaishi
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha
9 years ago
Bongo521 Sep
Bobi Wine asema hana mpango wa kwenda kimataifa, anaridhika kuwa msanii wa ndani
10 years ago
Dewji Blog20 Jan
NAPE: CCM haitaruhusu wanunua urais kupenya uchaguzi mkuu wa mwaka huu
MTUME na Nabii wa Kanisa la EFATHA Josephat Mwingira akimlaki kwa furaha, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipowasili katika ukumbini, kutoa mada kuhusu nafasi ya CCM na uhusiano wa CCM katika jamii, kwnye semina ya wachungaji wa kanisa hilo wa ndani na nje ya Tanzania, inayoendelea Kibahaka mkoa wa Pwani. Watatu kulia ni Mama Eliakunda Mwingira.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitoa mada kwenye semina hiyo.
> . Asema wanapoteza muda na pesa zao
>. Awataka...