Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhamiaji Kigoma yahadharisha

IDARA ya Uhamiaji mkoa wa Kigoma imeelezwa wasiwasi wake wa nchi kuingia kwenye mtego wa kuchagua viongozi wasio raia kutokana na kuwepo madai ya viongozi wanaowahifadhi wahamiaji haramu na kuwaajiri....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Uhamiaji Kigoma wahofu kupatikana viongozi wasio raia

IDARA ya Uhamiaji mkoani Kigoma imeeleza wasiwasi wa nchi kuingia kwenye mtego wa kuchagua viongozi wasio raia kutokana na madai ya kuwepo viongozi wanaohifadhi wahamiaji haramu na kuwaajiri.

 

10 years ago

Vijimambo

Maelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini Marekani

Mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie akizungumza na wanaDMV kwenye mkesha wa mwaka mpyaKatika mkesha wa mwaka mpya (2014-2015), Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia , kulikuwa na matukio mbalimbali.
Moja wapo lilikuwa ni maelezo ya mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie kuhusu maamuzi mapya ya serikali ya Marekani kwenye sheria za uhamiaji.
Karibu umsikilize

 

10 years ago

Michuzi

Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...

 

9 years ago

Habarileo

TBS yahadharisha vifaa umemejua

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetangaza uwepo wa vipande vya umemejua visivyo na ubora katika soko la ndani. Shirika hilo limewataka watumiaji wa umemejua kuwa makini wanapoenda kununua vifaa vya kutengeneza mfumo huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mamlaka TMA yahadharisha mvua kubwa

>Wakazi wa maeneo ya Mikoa ya Pwani, Morogoro na Ruvuma wameonywa na kutakiwa kuchukua tahadhari juu ya mvua kubwa yenye ujazo wa 50 mm inayotarajiwa kunyesha ndani ya saa 24 kuanzia jana.

 

10 years ago

Habarileo

TMA yahadharisha ujio wa upepo mkali

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema kutakuwa na upepo mkali unaoambatana na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa Pwani kwa siku mbili kuanzia kesho.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA

Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.

Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI KIGOMA WAZINDUA GAZETI LAO LA KIGOMA YETU

 Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma KWA niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali mstaafu Issa Machibya ,Mkuu wa Wilaya ya Kigoma mjini Exavery Maketa jana alizindua gazeti la Kigoma yetu linaalomilikiwa na CHAMA cha waandishi wa habari wa Mkoa wa Kigoma (KGPC). Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Kibo Peak uliopo mjini hapa na kuhudhuriwa na mamia ya wadau mbalimbali wa sekta ya habari pamoja na wakazi wa Mkoa wote wa Kigoma Akiongea katika uzinduzi huo katika hotuba yake Mkuu a...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani