Uhispania inakabiliana na Uholanzi
Mabingwa watetezi Uhispania wamakabiliana na Uholanzi katika marudio ya fainali ya kombe la dunia la 2010.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Jun
Uholanzi yaifunza Uhispania soka
Uholanzi iliiadhibu vikali mabingwa wa dunia, Uhispania walipowalaza mabao 5-1
11 years ago
Bongo513 Jul
Uholanzi yailaza Brazil 3-0,Uholanzi yashika nafasi ya 3 kombe la dunia
Timu ya taifa ya Uholanzi imeibamiza Brazil 3-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika kombe la dunia huko Brazil. Mashabiki wa Brazil waliwazomea wachezaji wao akiwemo kocha Luiz felipe Scolari kwa utendakazi duni katika mechi hizi mbili za mwisho ambazo Brazil imefungwa mabao 10 nayo ikifunga moja. Brazil ilifungua mechi hiyo kwa kasi lakini ikafungwa […]
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Uhispania yaaga Brazil2014
Uhispania imeyaaga mashindano ya Brazil2014 kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Australia
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
Je Catalonia itajitenga na Uhispania ?
Zaidi ya watu milioni tano wamejiandikisha kupiga kura huko Catolinia Uhispania katika uchaguzi unaotarajiwa kuwa mtihani wa umoja
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Chile kuchuana na Uhispania
Mabingwa watetezi Uhispania wanatafuta ushindi dhidi ya Chile baada ya kushindwa na Uholanzi katika kombe la dunia Brazil.
10 years ago
BBCSwahili07 May
11 years ago
BBCSwahili08 Feb
Mwanamfalme mahakamani Uhispania
Mwana mfalme Cristina ,mtoto wa mwisho wa kike wa mfalme Juan Carlos anatarajiwa kuhojiwa kuhusiana na kashfa ya ufisadi
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16
Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Mwanawe mfalme mahakani uhispania
Mwanawe wa mwisho mfalme Juan Carlos wa Uhispania amefikishwa mahakamani kwa madai ya kukwepa kulipa ushuru na ulaji rushwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania