Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHUSIANO: Mambo 11 ya kukuashiria mpenzi wako si mwaminifu

>Kila mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika uhusiano wa wengi.  Wengi wetu wameumizwa kwa mapenzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpenzi wako ‘kicheche’

NI matumaini yangu msomaji wa safu hii -mzima wa afya.  Leo nitaelezea jinsi ya kuzungumza na mpenzi wako pindi unapomuona anawatamani wasichana wengine pindi unapokuwa naye kwenye mkusanyiko wa watu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,unataka kuvunja uhusiano wako kwa urahisi?

Hakuna hisia mbaya zaidi inayokujia wakati unapokutana na chapisho linalokuhusisha wewe na mpenzi wako wa zamani mukijifurahisha.

 

9 years ago

GPL

FANYA HIVI KURUDISHA UHUSIANO WAKO UPYA-2

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuninusuru kifo, mimi na rafiki zangu katika ajali mbaya ya gari letu kugongwa na Fuso, Septemba 8, mwaka huu maeneo ya Bondeni, Mbezi-Beach jijini Dar. Hakika Mungu ana kusudi na mimi katika kukuelimisha wewe msomaji wangu wa XXLove. Nanyi nawatakia afya njema, rafiki zangu waliojeruhiwa zaidi yangu katika gari tuliyopata nalo ajali naamini tumenusurika kifo.
Wiki iliyopita tulijifunza namna ya...

 

10 years ago

GPL

JUX BADO UNABISHA UHUSIANO WAKO NA VANESSA

STORI: WAANDISHI WETU/Mchanganyiko BAADA ya kukataa mara kwa mara juu ya uhusiano wao wa kimapenzi, hatimaye wasanii Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ juzikati walikutwa katika mkao wa kimahaba kiasi cha kuwafanya mashabiki kujiuliza kama mkali huyo wa kibao cha Uzuri wako anaweza kuendelea kubisha. Wabongo Fleva Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ wakila...

 

9 years ago

GPL

KWA NINI MITANDAO IVURUGE NDOA UHUSIANO WAKO?

NI Jumatatu nyingine murua Mungu anatukutanisha tena kwa neema zake katika kilinge chetu cha XXLove kujuzana kuhusu maisha ya uhusiano.Wiki iliyopita tulijadili namna ambavyo huwezi kuyaepuka mapenzi kwa sababu ya maumivu uliyowahi kuyapata au unayapata ila utapumzika kwa muda tu. Leo nakukaribisha kwenye mada tamu inayohusu matumizi na mapokeo mabovu ya mitandao ya kijamii kama mada inavyojieleza.Kumekuwa na wimbi kubwa la watu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,unaweza kuvaa chupi ya mpenzi wako?

Chupi inayoweza kuvaliwa na watu wa jinsia zote sasa imeanza kuuzwa madukani nchini Marekani.

 

9 years ago

Bongo5

Je unamwamini mpenzi wako kiasi gani?

Black-woman-white-man

Unamwamini mpenzi wako? Mfano ni huu hapa, Je anaweza kwenda likizo wakati wewe haipo likizo? Je unaweza kumruhusu kutoka na ex wake? Au ikitokea amekutana na ex wake mtaani kwa bahati mbaya na wewe ukiwepo unajisikiaje?

Black-woman-white-man

Au unaweza ukamwachia simu yako na usiwe na presha? Hayo maswali yanaweza kukujulisha akilini mwako ni kiasi gani unamwamini mpenzi wako. Kama humwamini mpenzi wako namna utakavyoitikia mambo hayo yanapotokea kuna ishara ambazo zitajulikana wazi kwamba humwamini hata kama...

 

10 years ago

GPL

UNAKUNJAJE USO KWA MPENZI WAKO?

SIKU zinakimbia kwelikweli kuelekea mwisho wa mwaka, dunia ikijiandaa kwa ajili ya sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, yapata zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Wenyewe wanaita Krismas. Ni kipindi ambacho pia akina baba wanapunguza idadi ya michepuko kutokana na wingi wa mahitaji na akina mama nao wanaongeza orodha ya ATM ili wanone zaidi!
Uongo? Kama utaamua kunikatalia sitakulaumu kwa sababu huenda wewe ni mmoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani