Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi Stars mpya na sauti za wadau

KUANZIA Februari 22 hadi Machi 5, mikoa 22 ya Tanzania Bara itakuwa ikichuana ambapo lengo si kutafuta bingwa miongoni mwao kama moja ya malengo ya Kombe la Taifa ambalo kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau: Stars imepoteza mvuto

Wachambuzi wa soka wamesema timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ haina kiwango cha kuvutia uwanjani na imepoteza mvuto.

 

9 years ago

Mwananchi

Wadau wakosoa kambi ya Stars

Uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania  (TFF) kuitisha kambi ya timu ya Taifa wakati klabu zikiwa kwenye maandalizi ya msimu mpya wa ligi, umepokewa kwa hisia tofauti na wadau wa mchezo huo, baadhi wakizilaumu Yanga na Azam kwa kuzuia wachezaji wao na wengine wakiliponda shirikisho hilo kwa kutokuwa makini.

 

5 years ago

Michuzi

SAMIA NA JAKAYA WAUNGANA NA WADAU KUCHANGIA HARAMBEE YA UJENZI WA UKUMBI WA CCM PWANI

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
MAKAMU wa Rais na mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete  wameungana na wadau , kwenye harambee ya kuchangia zaidi ya sh.milioni 500 ili kukamilisha ujenzi wa ukumbi wa CCM mkoani Pwani,":ambapo ameeleza chama hicho mkoa sio maskini badala yake waviendeleze vitega uchumi walivyonavyo.
Katika harambee hiyo, imeweza kupatikana kiasi cha sh.milioni 584.1 ikiwa fedha taslim milioni 113.4,ahadi milioni 471.6,mifuko ya...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Sauti Sol wadondosha single mpya ‘Sura Yako’

Kundi lenye members wanne la Sauti Sol kutoka Kenya, limeachia wimbo mpya uitwao ‘Sura Yako’, ikiwa ni single ya nne kutoka kwenye album yao ‘Live and Die in Africa’ inayotarajiwa kutoka kabla mwaka huu kuisha. Wimbo huu umefuata baada ya ‘Nishike’ iliyotoka miezi michache iliyopita.

 

11 years ago

CloudsFM

ZITTO KABWE AINGIZA SAUTI KWENYE WIMBO MPYA WA LINEX

Staa wa Bongo Fleva,Linex Sunday Mjeda hivi karibuni ataandika historia kwa kutambulisha video ya ngoma yake “wema kwa ubaya” katika ukumbi flani na tukio hilo kuonyeshwa live kwenye tv station mbili nchini Tanzania, na katika ngoma hiyo itaskika sauti ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mheshimiwa Zito Kabwe.Kwa mara ya kwanza pia linex ameweka rekodi kwa kumlipa mkwanja mrefu director Adam Juma next lavel ambaye hivi karibuni aliwahi kufunguka kuwa tangu aanze kazi yake hajawahi kulipwa zaidi...

 

9 years ago

Bongo5

Baghdad kuachia wimbo mpya wenye sauti za watu maarufu/mashuhuri 70 Ijumaa hii!

baghdad

Rapper Baghdad anaachia wimbo mpya Ijumaa hii, wimbo ambao mwenywe anasema utavunja rekodi kutokana na kutumia sauti za watu maarufu/mashuhuri 70.

baghdad

Katika wimbo huo unaoitwa ‘Unaakili wewe?” kamshirikisha Roma.

Kupitia Instagram Baghdad ambaye ameoa hivi karibuni na kupata mtoto wa kwanza, ameandika:

“Wimbo mpya wa baghdad na Roma unatoka tarehe….4th december Ijumaa!! Wimbo huo umevunja rekodi, kwakuwa wimbo uliohusisha watu maarufu/mashuhuri zaidi ya 50! Ndani ya wimbo huo utawasikia watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani