Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujumbe wa kibaguzi kwa Welbeck wachunguzwa.

Polisi mjini wa Manchester wanafanya uchunguzi kusuhu ujumbe wa kibaguzi katika mtandao wa kijamii wa twitter kwa Danny Welbeck.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Nkamia alaani vikali maneno ya kibaguzi kwa wachezaji, aitaka TFF ichukue hatua

WIZARA ya Habari Utamaduni na Michezo imeliagiza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa adhabu kwa timu ya Ruvu Shooting kutokana na kitendo cha ubaguzi kilichofanywa na wachezaji wa timu hiyo dhidi ya mshambuliaji wa Yanga kutoka nchini Rwanda, Hamis Tambwe.
Akizungumza na Ripota wa Globu ya Jamii, Naibu Waziri wa Habari, Juma Nkamia amesema kuwa TFF isikae kimya kutokana na matamshi ya udhalilishaji juu ya Tambwe na kuiagiza TFF kuchukua hatua za kinidhamu haraka iwapo itathidibitika...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani

Mwenyekiti wa NEC Damian Lubuva Wednesday, September 9, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua […]

The post Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi Kanisani appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ni ya kibaguzi?

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ya mjini The Hague ilianza kazi zake karibu miaka 15 iliyopita.

 

10 years ago

Mtanzania

Maaskofu:Mahakama ya Kadhi ya Kibaguzi

alexmalasusaJUKWAA la Wakristo Tanzania (TCF) limepinga muswada unaopendekeza kuanzishwa Mahakama ya Kadhi, likiitaka Serikali iuondoe bungeni kwa madai kuwa ni wa kibaguzi na upo kinyume na matakwa ya Katiba.
Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ya 2014, unapendekeza pamoja na mambo mengine, marekebisho ya Sheria ya Tamko la Sheria za Kiislamu ya mwaka 1964.
Maaskofu na wajumbe wa jukwaa hilo walikutana Januari 20, mwaka huu jijini Dar es Salaam na kushauri Serikali iondoe muswada huo bungeni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasusia mechi kufuatia matamshi ya kibaguzi

Wachezaji wa Los Angeles Clippers nchini Marekani wanasusia kucheza baada ya mmiliki wa timu hiyo kutuhumiwa kwa kosa la matamshi ya kibaguzi

 

11 years ago

GPL

MASTAA MATAJIRI WACHUNGUZWA

Stori: MAKONGORO OGING’ KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa ‘mastaa’ Bongo ambao wameibuka na utajiri wa ghafla, Uwazi limeambiwa. Masanja Mkandamizaji. Kwa mujibu wa chanzo nyeti ambacho kiko ‘jikoni’ kwenye jeshi hilo, mbali na mastaa, wengine ambao tayari orodha yao ipo ni wafanyabiashara,...

 

10 years ago

Habarileo

Majaji waliotajwa Escrow wachunguzwa

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande OthumanJAJI Mkuu, Mohamed Chande Othman amesema Kamati ya Maadili ya Majaji imeanza kushughulikia tuhuma za kinidhamu na kimaadili dhidi ya majaji wawili wa Mahakama Kuu, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochukuliwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

GPL

Matola, Pazi wachunguzwa Simba

Kocha mzawa wa kikosi cha Simba, Selemani Matola. Martha Mboma na Sweetbert Lukonge
MAKOCHA wazawa wa kikosi cha Simba, Selemani Matola na Idd Pazi, wanachunguzwa na uongozi wa klabu hiyo baada ya kudaiwa kuwa wanaihujumu ili ishindwe kufanya vizuri katika mechi zake za Ligi Kuu Bara. Makocha hao pia waliwahi kuitumikia Simba kama wachezaji miaka ya nyuma na sasa ni makocha wakisaidiana na Mzambia, Patrick Phiri kukinoa kikosi...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake 200 wachunguzwa saratani

WANAWAKE zaidi ya 200 jana walijitokeza katika kambi ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi pamoja na kupata ushauri kuhusu saratani ya matiti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani