Ukawa: Tanganyika yaja.
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeahidi kuwa kama utashinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao, utarejesha serikali ya Tanganyika.
Kauli hiyo ilitolewa mjini Zanzibar jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, katika uwanja wa Demokrasia.
Maalim akihutubia umati wa wananchi katika mkutano huo ambao pia ulihudhuriwa na mgombea wa Ukawa wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 May
Ukawa: Tutaidai Tanganyika nje ya Bunge
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j9xIdemwbWo/VaU-5o4DcTI/AAAAAAAHppM/2CZaoLo2mrY/s72-c/_MG_6218.jpg)
UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-j9xIdemwbWo/VaU-5o4DcTI/AAAAAAAHppM/2CZaoLo2mrY/s640/_MG_6218.jpg)
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
11 years ago
TheCitizen19 Mar
Why he's in defence of Tanganyika
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Vodacom yaja na ‘Hello Tanzania’
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania imeanzisha promosheni mpya iliyopewa jina ‘Hello Tanzania’ ambayo inamuwezesha mteja kuzungumza bure kwa dakika moja. Akizungumza na Tanzania Daima juzi, Mkuu wa...
10 years ago
Uhuru Newspaper21 Apr
Mageuzi makubwa yaja
Shule 250 kufungiwa huduma ya intanetiVijiji 480 kuunganishwa huduma ya simuSerikali kuzibana kampuni za simu nchini
NA KHADIJA MUSSA
MIKAKATI ya serikali ya kutoa wataalamu wengi wa sayansi imeendelea kutetekelezwa kwa kasi, ambapo imetia saini mikataba kusambaza huduma za mtandao kwenye shule mbalimbali nchini.
Mikataba hiyo iliyotiwa saini jijini Dar es Salaam jana na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, iko miwili ya kupeleka huduma za mawasiliano...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Airtel yaja na ‘Switch on’
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Airtel, imezindua huduma kabambe ya Intaneti itakayojulikana kama ‘Switch on’. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo juzi, Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Tanzania,...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
CHADEMA yaja na ajenda 9
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeamua kuwasha moto nchi nzima kwa wiki mbili mfululizo kuanzia leo, ukiwa ni mkakati wa kujiimarisha na kujadiliana na wananchi kuhusu masuala nyeti ya...
11 years ago
TheCitizen06 Jul
L. Tanganyika fishermen robbed
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Zilichangia Uhuru wa Tanganyika