Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA WADAIWA KUPEWA HELA CHAFU

Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Kwanza, Agustino Matefu (kushoto) akiandika baadhi ya maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni mmoja wa viongozi wa taasisi hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wadaiwa kukutwa na sukari chafu Mbeya

Mapya yamefichuka jijini hapa baada ya watu sita kushikiliwa polisi kwa tuhuma za kukutwa na tani 10 za sukari waliyokuwa wakiibadilisha kutoka kwenye mifuko ya kilo 50 kwenda mifuko ya kilo moja iliyotengenezwa nchini Malawi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtikila ‘apiga hela’ mkutano wa Ukawa

Kiongozi wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, juzi alitoa mpya ya aina yake katika Mkutano wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa) pale alipopigia debe kitabu chake ambacho kilinunuliwa kwa idadi kubwa na wajumbe wenzake.

 

9 years ago

Habarileo

Wafuasi Ukawa Temeke wadaiwa kuchoma ofisi

WATU wanaodaiwa kuwa wafuasi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamechoma moto ofisi za Ofisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Temeke Mikoroshini kwa madai kuwa ofisa huyo amemtangaza mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abel Tarimo wakati hakushinda.

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Wakazi – Kanuni za Hela

20160105234058

Another single from the Upcoming album (Kisimani) this one is dubbed ‘Kanuni Za Hela’ which in Swahili means “principles of money” both making it & keeping it.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Darassa Ft. Triple D — Hela

hela artworkWimbo mpya wa rapper Darassa amemshirikisha Triple D unaitwa “Hela”. Studio Masanjuo Records. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Habarileo

Manispaa wala hela ya mochari

Ofisi ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni HALMASHAURI ya Kinondoni imekumbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha baada ya kubainika imedanganya kwamba ilitumia Sh milioni 20 kukarabati na kupanua mochari ya Hospitali ya Mwananyamala wakati siyo kweli.

 

11 years ago

GPL

DIMPOZ, HEBU ACHA ULIMBUKENI WA HELA

Staa wa Bongo Fleva, Omar Nyembo 'Ommy Dimpoz'. UNAPOTAKA kutaja majina ya vijana chipukizi, ambao sasa wanaogelea katika bahari ya ustaa, basi huwezi kuliweka mbali jina la Ommy Dimpoz, mkali wa vibao vikali vya Baadaye na Tupogo. Hizi ngoma mbili zimekimbiza sana na nadhani ndizo zinazompa shoo nyingi, ndani na nje ya nchi, ingawa pia hivi karibuni aliingiza mtaani kazi yake nyingine inayokwenda kwa jina la Ndagushima.
...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City wapiga hela, Simba migogoro

>Wakati Mbeya City wakisaini mkataba wa udhamini wa miaka miwili wenye thamani ya Sh360 milioni na kampuni ya Bin Slum Tyre Co. Ltd, wanachama wa Simba wametishia kumshtaki Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa madai ya kutaka kumpendelea mgombea urais wa klabu hiyo, Michael Wambura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani