Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa ‘watoana macho’ Moro

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Morogoro kimeingia kwenye malumbano jukwaani na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), Wilaya ya Morogoro kuhusu suala la mchakato wa kumpata wa mgombea wa ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini kupitia Ukawa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

CCM watoana macho urais

Fredy Azzah na Debora Sanja, Dodoma
JOTO la Uchaguzi wa Rais ndani ya CCM linazidi kupanda huku makada na viongozi wa chama hicho wakipigana vijembe hadharani.
Hali hiyo inatokana na kile kinachojitokeza sasa, kuibuka kwa makundi ya jamii, wakiwamo wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu, kuwashawishi makada kadhaa wa CCM wawanie nafasi hiyo ya uongozi wa nchi katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba.
Makada ambao wamekuwa wakishawishiwa kuwania nafasi hiyo ni Mbunge wa Monduli, Edward...

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar

Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi mmoja ya wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari ya eneo hilo kupatiwa huduma ya macho.Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri huduma ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka...

 

10 years ago

GPL

WEMA, ZARI WATOANA JASHO

Musa mateja na Imelda Mtema
Nisheedah! Gumzo la mjini wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu iliyofanyika jijini Mwanza ambapo nyuma ya pazia, warembo hao walitoana jasho kuhakikisha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zitto, TPDC watoana jasho

MVUTANO mkali umeibuka kati ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), kuhusu mikataba ya gesi nchini....

 

10 years ago

GPL

KAJALA WEMA WATOANA JASHO POLISI

Stori: Waandishi Wetu
Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’, mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha Polisi cha Kijitonyama almaarufu Mabatini jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’. DURU ZA ‘KIUBUYU’
Duru za ‘kiubuyu’ zilidai kwamba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wamaasai watoana kijasho 'Olimpiki' Kenya

Olimpiki ya wanariadha wamaasai imefanyika nchini Kenya miwhsoni mwa juma waasai hao wakitoana kijasho katika riadha na michezo mingineyo

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

10 years ago

GPL

WASICHANA WATOANA JASHO AIRTEL RISING STARS

Mchezaji timu ya soka ya wasichana ya Ilala Fatuma Salumu (Kushoto) akichuana na mchezaji wa timu ya Simba Queens Mwanaidi Hamisi katika michuano ya Airtel Rising Stars kwenye kiwanja cha kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam jana. Simba Queens walishinda 2 – 0. Mchezaji timu ya soka ya wasichana ya Ilala Fatuma Salumu (Kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Simba Queens Asha Abdul katika michuano ya Airtel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani