UKAWA watua kwa Nyerere
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amewaongoza viongozi wenzake wa vyama vya CUF na NCCR-Mageuzi) kuitembelea familia ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kijijini Butiama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen26 Jan
Nyerere Foundation backs Ukawa stance
10 years ago
Bongo Movies13 Aug
Steve Nyerere Afungukia Madai Kuhamia Ukawa!
STAA wa uchekeshaji na filamu Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kujiondoa Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na umoja wa UKAWA akisema kushindwa kwake katika kura za maoni hakuwezi kuondoa heshima yake kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete.
Akizungumza na gazeti hili juzi, Steve alisema Rais Kikwete amefanya mambo mengi sana kwa wasanii, kiasi kwamba ni mtu asiye na hisani pekee anaweza kuhama CCM kwa sababu ya kushindwa katika kura za maoni au ushawishi wa namna...
10 years ago
Mtanzania07 May
Wanafunzi Chuo cha KIU watua kwa DC
NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kilichopo Gongolamboto jana waliwasilisha malalalamiko yao kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi baada ya kufanya mgomo kwa vipindi tofauti bila kupata majibu.
Mamia ya wanafunzi hao walifika katika ofisi ya mkuu wa mkoa saa 6 mchana kwa lengo la kupeleka kilio chao kwa Mkuu wa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadik hata hivyo waligonga mwamba kwa kushindwa kuonana naye.
Baada ya kukosekana kwa Sadik,...
10 years ago
Habarileo24 May
Mkataba wa Wamasai na wakoloni watua kwa siri
MIAKA takribani 60 baada ya kuanzishwa kwa Hifadhi maarufu ya Serengeti, mkataba uliosainiwa na wazee 12 wa Kimasai pamoja na utawala wa kikoloni wa Mwingereza umetua nchini kwa siri.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Mgogoro Kanisa Moravian watua kwa msajili
KANISA la Moravian kupitia Kamati yake ya Mpito ya Jimbo la Misheni Mashariki imemwandikia barua Msajili wa Vyama na Taasisi za Dini aliyepo Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Wana CCM Serengeti watua kwa Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Monduli
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), kuchukua fomu ya kuwania urais muda utakapofika kwani wanaamini ni kiongozi anayefaa kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho.
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Vicent Nyamasagi, viongozi hao walitoa kauli hiyo jana Monduli baada ya kufika nyumbani kwa Lowassa kuwasilisha ombi hilo.
Lakini...
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Waongoza watalii watua mzigo kwa JPM
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Mgogoro mpaka wa ardhi Ikorongo watua kwa Lukuvi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j*z2ryZ7D1wVhK8zClY3bs44j39CEOakRnMSnnqhLbJAy2hfaJ6jt*wmsXjXrYC-WDb0937OkPl-xKlGKTCXrRwQBmjKTwHM/MAGUFULI4.jpg?width=650)
DK. MAGUFULI, SAMIA SULUHU WATUA DAR, WAPOKELEWA KWA SHANGWE