Ukraine na Cremia kuamua, Lavrov asema
Waziri Mkuu wa Urusi, Sergei Lavrov, asema mamlaka nchini Ukrain na yale ya Jimbo la Cremia yataamua iwapo yatahitaji wachunguzi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili09 Apr
Ukraine;saa 48 kuamua mustakabal wake
Waukraine wanaoishi mashariki wanatakriban saa 48 kuamua mustakabal wao la sivyo wakabiliane na vyombo vya usalama vya dola.
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Lavrov ashutumu mataifa ya magharibi
Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi, asema mataifa ya magharibi yanaazimia kuondoa madarakani serikali ya Urusi
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Kenya kuamua kuchaguana keshokutwa
Wakenya keshokutwa wanapiga kura kuchagua viongozi wa kuongoza mamlaka ya nchi kwa kipindi kingine cha miaka mitano, huku Kituo cha Taifa cha Haki za Binadamu nchini Kenya (KNCHR), Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC) kuhakikisha matokeo ya kura zilizopigwa kwenye maeneo yasiyokuwa na mtandao yanakuwa sahihi.
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Mahakama kuamua pingamizi la Uamsho
Hatima ya usikilizwaji wa maombi ya marejeo ya viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), inatarajiwa kujulikana leo, wakati Mahakama Kuu Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali la Jamhuri dhidi ya maombi hayo.
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Logarusic kuamua hatma Kiongera
>Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic atakuwa na kibarua cha kuchagua mshambuliaji mmoja kati ya nyota watatu wakakaotambulishwa katika tamasha la Simba Day.
10 years ago
BBCSwahili17 Sep
Scotland kuamua ikiwa itajitenga au la
Wanasiasa wanaendelea na kampeini ya lala salama ya kura ya maamuzi ikiwa Scotland itajitenga na Uingereza au la .
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
WHO kuamua Ebola janga la dunia
Shirika la afya ulimwenguni wanakutana Geneva Uswis kuamua iwapo Ebola kuwa janga la barani Afrika na dharura ya dunia.
11 years ago
BBCSwahili16 Mar
Crimea yapiga kura kuamua
Watu wa Crimea waarifiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura ya maoni kuamua ikiwa wanataka kubaki Ukraine au wajiunge na Urusi
11 years ago
Habarileo28 Mar
Kura ya maoni kuamua muundo wa muungano
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad amesema kura ya maoni ndiyo itakayoamua hatima ya muundo wa muungano uliopo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania