Umuhimu wa Kiswahili katika Taifa
Mwalimu J. K. Nyerere ametuasa tusiwe wabinafsi katika masuala yahusuyo taifa. Suala la ubinafsi amelipiga vita tangu alipoasisi taifa hili na kutuagiza tuondokane na unafsi kama alivyoandika katika kitabu chake cha ‘Tujisahihishe.’ Kitabu hiki kilichapishwa mwezi Juni 1962. Kwa maana hiyo, alitupa fursa ya kuielimisha jamii bila uchoyo na husuda.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Umuhimu wa Kiswahili katika Taifa Letu (1)
 Mwalimu J. K. Nyerere amewahi kutuasa ili tuepukane na  ubinafsi katika masuala yahusuyo taifa letu. Suala la ubinafsi amelipiga vita tangu alipoasisi taifa hili na kutuagiza tuondokane na unafsi kama alivyoandika katika kitabu chake cha ‘Tujisahihishe.’ Kitabu hiki kilichapishwa mwezi Juni 1962. Kwa maana hiyo, alitupa fursa ya kuielimisha jamii bila kuwa na uchoyo wala husuda.
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Umuhimu wa Kiswahili Afrika Mashariki
Katika makala iliyotangulia nilieleza juu ya juhudi za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zilivyojitahidi kuendeleza lugha ya Kiswahili, ili iwe na taswira ya utangamano kwa wananchi wa nchi hizi.
11 years ago
Mwananchi12 Oct
Umuhimu wa kuunganisha Kiswahili Afrika Mashariki
Katika taarifa ya utafiti uliochapishwa hivi karibuni imeelezwa kuwa Watanzania wengi wanataka kuunganishwa katika shughuli mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE MINGINE .
KIINGILIO BUREEEEE

10 years ago
Mwananchi03 Sep
MJASIRIAMALI : Umuhimu wa wafanyabiashara wadogo kwa Taifa
Sera ya taifa ya wafanyabiashara wadogo na wa kati inatambua umuhimu wao katika maendeleo ya nchi. Ni kutokana na umuhimu wao ndiyo maana Serikali iliamua kutunga sera itakayoongoza shughuli za utendaji kazi wao.
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Umuhimu wa sarufi katika lugha
Katika utangulizi wa makala yangu niliyoandika siku za nyuma, nilinukuu aya chache kutoka katika kijitabu alichoandika Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuhusu misingi ya lugha ya Kiswahili na pia makosa yanayojitokeza wakati wa kuandika taarifa au habari rasmi. Nilimnukuu wakati aliposisitiza kuwa ni muhimu kuzingatia sarufi na upatanishi wake kwa maana ya kutumia ngeli zake kwa uangalifu.
Â
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Umuhimu wa sarufi katika lugha (2)
Kwa hiyo wadau na wapenzi wa lugha hii wanatakiwa kupata picha ya kazi kubwa iliyofanywa na wageni na hasa wamisionari wa kizungu waliamua kuandika vitabu na vijitabu kwa lengo la kuwahamasisha wadau na wapenzi wa Kiswahili wajifunze misingi ya lugha hii. Mbali na wadau na wapenzi wa Kiswahili, viongozi wetu wa chama na serikali wanapaswa kutambua juhudi hizi na wakithamini kwa kutumia Kiswahili fasaha katika shughuli zao za kila siku. Hii inawezekana kama kutakuwa na utashi wa dhati...
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Umuhimu wa maji katika mwili
Maji huunda zaidi ya theluthi mbili ya miili yetu, lakini wengi wetu huacha kunywa maji na kunywa vinywaji vingine tukisahau kunywa maji ya kutosha.
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Umuhimu wa elimu maalumu katika jamii
Elimu maalumu hutolewa kwa watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali hadi kufikia umri wa miaka 21.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania