Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umuhimu wa sarufi katika lugha

Katika utangulizi wa makala  yangu niliyoandika siku za nyuma,  nilinukuu  aya chache kutoka katika kijitabu  alichoandika Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuhusu misingi ya lugha ya Kiswahili na pia makosa yanayojitokeza wakati wa kuandika taarifa au habari rasmi.  Nilimnukuu wakati aliposisitiza  kuwa ni muhimu kuzingatia sarufi na upatanishi wake kwa  maana ya kutumia ngeli zake kwa uangalifu.  

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa sarufi katika lugha (2)

Kwa hiyo wadau na wapenzi wa lugha hii wanatakiwa kupata picha ya kazi kubwa iliyofanywa na wageni na hasa wamisionari wa kizungu waliamua kuandika vitabu na vijitabu kwa lengo la kuwahamasisha wadau na wapenzi wa Kiswahili wajifunze misingi ya lugha hii.  Mbali na wadau na wapenzi wa Kiswahili, viongozi wetu wa chama na serikali wanapaswa kutambua juhudi hizi na wakithamini kwa kutumia Kiswahili fasaha katika  shughuli zao za kila siku. Hii inawezekana kama kutakuwa na utashi wa dhati...

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhiu wa sarufi katika lugha

Katika utangulizi wa makala  yangu yaliyopita,  nilinukuu  aya chache kutoka katika kijitabu  alichoandika Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kuhusu misingi ya lugha ya Kiswahili na pia makosa yanayojitokeza wakati wa kuandika taarifa au habari rasmi.  Nilimnukuu wakati aliposisitiza  kuwa ni muhimu kuzingatia sarufi na upatanishi wake kwa  maana ya kutumia ngeli zake kwa uangalifu.

 

9 years ago

Mwananchi

Jiendeleze katika lugha ya Kiswahili

Watu makini katika lugha ya Kiswahili waliwahi kusema kuwa njia pekee za kukieneza na kukiimarisha Kiswahili ni kuandaa maandishi ambayo yatasomwa na watu wengi kwa kuzingatia msemo usemao, “Watu hupenda kusikia lakini zaidi sana hutaka kuona”. Kwa hiyo kwa kupitia njia ya uandishi itawezesha kusaidia habari kusomwa na kuenea sehemu kubwa ya nchi na watu wengi wakasoma maandishi hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Athari ya lugha za asili katika Kiswahili

Niliwahi kueleza katika makala zangu za hapo awali na kusisitiza kuwa bado wako waandishi wengi wanaoendelea kufanya makosa ya hapa na pale bila kuzingatia ufasaha na usanifu wa lugha ya Kiswahili. Nilitilia mkazo katika uandishi hasa kwa upande wa sintaksia, mofolojia na semantiki katika Kiswahili. Niliwasihi waandishi wawe makini wanapoandika makala na taarifa   za matukio mbalimbali. Watumie lugha sanifu na iliyo fasaha ili wasomaji wapate habari zilizo sahihi na za ukweli....

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi katika uandishi wa lugha ya Kiswahili

>KABLA kuanza makala yangu,  napenda  kuwafahamisha  wasomaji  wangu kuwa  baadhi yao wameniletea   maoni na mawazo  kuhusu mambo mbalimbali ya  msingi katika  lugha.

 

9 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa maji katika mwili

Maji huunda zaidi ya theluthi mbili ya miili yetu, lakini wengi wetu huacha kunywa maji na kunywa vinywaji vingine tukisahau kunywa maji ya kutosha.

 

9 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa Kiswahili katika Taifa

Mwalimu J. K. Nyerere ametuasa tusiwe wabinafsi katika masuala yahusuyo taifa. Suala la ubinafsi amelipiga vita tangu alipoasisi taifa hili na kutuagiza tuondokane na unafsi kama alivyoandika katika kitabu chake cha ‘Tujisahihishe.’ Kitabu hiki kilichapishwa mwezi Juni 1962. Kwa maana hiyo, alitupa fursa ya kuielimisha jamii bila uchoyo na husuda.

 

9 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa Kiswahili katika Taifa Letu (1)

 Mwalimu J. K. Nyerere amewahi kutuasa ili tuepukane na  ubinafsi katika masuala yahusuyo taifa letu. Suala la ubinafsi amelipiga vita tangu alipoasisi taifa hili na kutuagiza tuondokane na unafsi kama alivyoandika katika kitabu chake cha ‘Tujisahihishe.’ Kitabu hiki kilichapishwa mwezi Juni 1962. Kwa maana hiyo, alitupa fursa ya kuielimisha jamii bila kuwa na uchoyo wala husuda.

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa elimu maalumu katika jamii

Elimu maalumu hutolewa kwa watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali hadi kufikia umri wa miaka 21.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani