Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNAFAHAMU NANI ALIANZA KUFUGA MBWA NA ALIKUA AKIISHI WAPI?

Mbwa Watafiti wanakubaliana mbwa wamekuwa wakitumiwa na binadamu kwa miaka 15,000,Utafiti mpya unaonyesha kuwa Mbwa walianza kufugwa kwa mara ya kwanza katikati mwa bara Asia.

Watafiti hao walichunguza chembe za msambojeni (DNA) za aina 165 ya mbwa, kutoka mataifa 38 katika kile wanachosema ni utafiti mkubwa zaidi, kuwahi kufanyika duniani kuhusiana na uzao wa mbwa.
Utafiti huo unasema kuwa Nepal na Mongolia ni maeneo ya kwanza kabisa ambapo mbweha walianza kuwa marafiki wakubwa wa binadamu,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ACT-Wazalendo Mnapata Wapi Pesa za Kuendesha Chama? Zitto Ashindwa Kujibu Je nani Atajibu


Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi? Katika Mkutanao wa Chama hicho Mwanza Zitto Alishindwa Kujibu Swali hilo na Badala yake alisema Kawaulize kina Mzee Mtei Chadema nao Wanapata Wapi Fedha za Kufadhili Mikutano yao...
Wadhamini wa chama ni akinanani.?
Kama...

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Washauriwa kufuga samaki

Anthony Kayanda, Mwananchi

 

10 years ago

Vijimambo

JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA

wema sepetu bongoclan.co.tzAkiwa mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya Bongo Movies ,Wema Sepetu ni msichana  anayetoka kwenye Familia ya kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu.Ana sura na umbo zuri sana, na mvuto mkubwa sana kutokana na rangi yake nzuri ya ngozi. Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao yenye watoto wanne wa kike.wema sepetu bongoclan.co.tz..

 

9 years ago

GPL

SAJENTI, SIASA NA MALEZI YA MTOTO WAPI NA WAPI?

MAISHA ya Kibongo kwa kweli ni magumu sana. Kuna msemo mmoja maarufu sana mtaani unaosema kuwa bora jana kuliko leo, wakimaanisha angalau jana walikuwa na uhakika, hawajui leo itakuwaje. Vijana wako bize kutafuta hela kwa kila mbinu, wenye haraka wakitumia silaha, ushirikina na hata utapeli, ili mradi kila mmoja anajitahidi kuhakikisha maisha yake ya leo yanakwenda sawa, huku akijiweka vizuri kuishika kesho yake isiingie...

 

10 years ago

GPL

OYA MASELA KAZI YA KICHWA SI KUFUGA NYWELE!

Oyooo…niaje masela hapo kwa ndichi ya kitaa cha kati? Ama nini? Inakuwaje wanangu wa Roki Siti? Kitaa hii Bongo tambarare aisee arifu. Piga dauni ishu za mapolitiksi…sijui Ukawa wamejoiniana wakawa kitu kimoko. Basi barida! Chamsingi laifu la washkaji liwe bomba na pipo wainjoi. Hayo mengine tunawaachia maza na dingi wafanye yao. Ebana eee… kuna stori moko linawatachi mashori hawahawa ambao makachaa wamezoe...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Waaswa kufuga nyuki kwa manufaa yao


WANANCHI mkoani Morogoro wametakiwa kufuga nyuki kwa njia ya kisasa ili kuongeza uzalishaji, kuinua kipato na kujitengenezea fursa za ajira.
Hayo yalibainishwa jana na mtaalamu wa ufugaji nyuki  kutoka asasi ambazo zinafuga nyuki kwa njia ya kisasa katika Tarafa ya Turiani wilaya ya Mvomero, Baiton Mshani, alipozungumza na waandishi wa habari mjini hapa.
Alisema ufugaji nyuki unaweza kutoa ajira kwa vijana wengi na kuondoa dhana potofu ya kusubiri ajira toka serikalini iliyojenga kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Clarke alikua na kesi kabla ya ajali

Mcheza mpira wa zamani Clarke Carlisle alishitakiwa kwa kosa la la kuendesha gari akiwa amelewa .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani