Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNGA WAMTESA TENA AGNESS MASOGANGE

Stori: Imelda Mtema
MAJANGA! Baada ya kuchomoka kwenye ule msala wa awali wa madawa ya kulevya, video queen matata Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amejikuta akiteseka kwa ishu hiyo kwa mara nyingine. Video queen matata Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’. Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia Risasi Jumamosi, Masogange alipatwa na msala huo mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange!

Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agness Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria. Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha […]

The post Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE: ALIYENIPA MZIGO WA 'UNGA' ALIVAA KININJA

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
‘VIDEO queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka  kuwa aliyempa mzigo wa unga  na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe kumtambua. Masogange amefunguka kuwa aliyempa mzigo wa 'unga', alivaa kama huyu. Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vyetu makini katika kikosi kazi cha kuzuia na...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU ARCHBOLD NA AGNESS WAMEREMETA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Wadau waandamizi wa Globu ya Jamii Archbold Josaphat Kiwia na Agnes Samwel Likongo wamemeremeta leo katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam. Wadau hawa, ambao ni wafanyabishara maarufu wa mbao, hivi sasa wanaelekea hoteli ya Serena kwa mnuso wa nguvu waliouandaa. Globu ya Jamii inawatakia Archbold na Agness maisha mazuri na ya furaha! Bwana harusi amvisha pete mkewe Bi Harusi amvisha pete mumewe  Archbold akimwaga winoAgness naye anamwaga wino Wakikabidhiwa hati. Kwa mapicha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujangili wamtesa JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajia kuongoza mkutano wa kujadili jinsi ya kuokoa viumbe vilivyo hatarini kutoweka duniani, serikali yake imetajwa kuongoza kwa mauaji ya tembo. Mkutano huo unatarajiwa kufanyika Alhamisi...

 

9 years ago

Mtanzania

Mawaziri wamtesa Dk. Magufuli

122*Sura mpya zatajwa kuingia Baraza jipya

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

ZIKIWA zimetimia siku sita tangu Rais Dk. John Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wingu zito limetanda kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

Wakati kitendawili cha kwanza kinatarajiwa kuteguliwa Novemba 19 mjini Dodoma, pale Bunge la 11 litakaporidhia uteuzi wa waziri mkuu anayesubiriwa kwa hamu, mtihani mwingine unabaki kwa mawaziri.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili baada ya...

 

10 years ago

GPL

UGUMBA WAMTESA WEMA

Na Imelda Mtema POLE sana! Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.
Akizungumza na Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani. Staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani