UNUNUZI MAZAO MCHANGANYIKO KUPITIA AMCOS UTAWAKOMBOA WAKULIMA: DC BARIADI
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi. Mhe. Festo Kiswaga akifungua kikao cha wadau wa mazao mchanganyiko kilichofanyika jana Mjini Bariadi kwa lengo la kujadili namna ya kutekeleza maelekezo ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe kuhusu mfumo wa ununuzi wa choroko, dengu, mbaazi na soya kupitia vyama vya ushirika vya msingi (AMCOS) kwa mikoa inayolima mazao hayo kuanzia mwaka huu 2020.
Baadhi ya wadau wa mazao mchanganyiko mkoani Simiyu, wakifuatilia kikao cha wadau hao kilichofanyika jana...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-l5ygRtXQB3Y/Xr_x5kbQv0I/AAAAAAALqe0/Be56ozAYECoSzm_vAZwRZue1n2WVyUmRwCLcBGAsYHQ/s72-c/56e0b4aa-f63b-4e86-a93b-8b99c34ffdb4.jpg)
WAKULIMA WILAYANI KAHAMA WAIOPONGEZA NFRA UNUNUZI WA MAZAO
Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nyanhembe Agricultural Farm Khamis Mgeja ambayo inayojishughulisha na shughuli za Kilimo na ufugaji alipotembelewa na jopo la waandishi wa habari kwenye...
10 years ago
MichuziWAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...
11 years ago
Habarileo26 Jan
Wakulima Bariadi watoa kilio chao
WAKULIMA wa kijiji ha Nhobora wilayani Bariadi mkoani Simiyu wameiomba serikali kumwendeleza kielimu mkulima mwezeshaji wao, kwani amekuwa akiwasaidia kuwaelimisha juu ya kilimo bora, ukilinganisha na bwana shamba, ambaye amekuwa akionekana kijijini hapo mara mbili kwa mwaka.
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Wakulima Bariadi sasa kudai fidia
SAKATA la mbegu za pamba zilizogoma kuota limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wakulima wa zao hilo wilayani Bariadi, Simiyu kuanza kukusanya saini zao ili waweze kuwasilisha madai ya...
10 years ago
Mwananchi05 Feb
STAKABADHI GHALAINI Ni mfumo mzuri ununuzi mazao ila vyama vya ushirika ni tatizo
11 years ago
MichuziWAKULIMA WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO
Wakulima wametakiwa kutumia fursa ya kuongeza thamani mazao yao ili waweze kunufaika zaidi kiuchumi kuliko kuuza mazao yao yakiwa ghafi kwani watakuwa wanayonywa na kuzidi kuwa masikini.
Wito huo umetolewa jana na Ofisa masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia, wakati akizungumza na waandishi wa habari, kwenye maonyesho ya wakulima nane nane, kanda ya kanda ya kaskazini yanayoendelea jijini Arusha.
Alisema kupitia Farm Africa wakulima wengi wa ufuta wa mkoa huo...
10 years ago
VijimamboWAKULIMA WA MAZAO YA HORTICULTURE WAHAMASISHWA KUUNGANA.
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Wakulima ongezeni thamani ya mazao yenu
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Vigezo ubora wa mazao vyagharimu wakulima