Usaili uchaguzi TBF kufanyika Jumamosi
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesema usaili wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) utafanyika keshokutwa Jumamosi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Uchaguzi TBF waingia dosari
WAKATI Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), likitangaza kufanyika kwa uchaguzi wake mkuu Desemba 28 mwaka huu mjini Dodoma, makocha wa mchezo huo wameibuka na kuliomba Baraza la Michezo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq-jlw8BpX0W4C2xjKyadL*ErLOOfWea*gCNsVY8uQTAqHbGvOmtBWajXf4NQiLvAoyLbdqAJPGHG197p989lBqE/TMTauditionMWANZAok.jpg)
9 years ago
Michuzi19 Aug
KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU
9 years ago
Habarileo15 Oct
Moravian wabariki ibada kufanyika Jumamosi
KANISA la Moravian Jimbo la Mashariki na Pwani Tanzania (KMJ – MPT) limetoa kibali kwa shirika zote na vituo vyote katika jimbo hilo kufanya ibada Jumamosi Oktoba 24 ili waumini wake wawe huru kupiga kura Jumapili ya Oktoba 25.
9 years ago
Bongo528 Aug
Fainali za ‘The Jump Off Michano’ kufanyika Jumamosi hii
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdaHBxnQ*baeuRV4eDcMlZLmBNZlD8yH-nrxFQTonPUjwxmiMYGhyyW3MOVkn4Ueb5RPvLJa*Ts1Rz7hbPuXrlLu/06.jpg?width=650)
ROBO FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA JUMAMOSI
11 years ago
Michuzi27 Mar
FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI
KAMPUNI ya Global Publishers Ltd ambao ni waandaaji wa shindano la kumtafuta mwanamke bora wa mwaka ambaye mchango wake wa maendeleo kwa jamii umewazidi wenzake, imethibitisha fainali hizo kufanyika keshokutwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-94hI2zL5kl8/VVNqym6XvXI/AAAAAAAHXE4/Czy0k1uwwcw/s72-c/IMG-20140515-WA0025.jpg)
Kumbukumbu ya Amina Ngaluma kufanyika Jumamosi jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-94hI2zL5kl8/VVNqym6XvXI/AAAAAAAHXE4/Czy0k1uwwcw/s400/IMG-20140515-WA0025.jpg)
KISOMO cha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili, baba mzazi wa marehemu, Kassim Ngaluma, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehemu na kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali wa marehemu wakati wa uhai wake wahudhurie.
“Tunaomba wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa...