USAJILI SIMBA: Cassilas ndani, Mkenya nje
>Uongozi wa Simba umesaini mkataba wa miaka mwili na kipa Hussein Sharrif ‘Cassilas’, huku wakiweka wazi kushindwa kumsajili kiungo KCB ya Kenya, Raphael Kiongera.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVKQj4dz0IqAZbIMbdneiK1R50aGHOq4fy249mJbGHLMXfaE0g-I9Kh4sfRdzCzf9-3Z-6lRN8yCN5*byu9s5x5*/Untitled1.jpg)
Mkenya atua Simba SC, Matola out
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Usajili Simba shaka
10 years ago
Mwananchi17 Jun
USAJILI SIMBA : Hatuwataki
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3
9 years ago
Mtanzania01 Sep
N’daw afunga usajili Simba
MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI raia wa Senegal, Pape N’daw, ameifungia usajili klabu ya Simba baada ya juzi kufuzu majaribio yake na kupewa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo kwenye Ligi Kuu msimu huu unaotarajia kuanza Septemba 12.
Sambamba na mchezaji huyo pia Simba imempa mkataba wa miaka miwili Boniface Maganga kutoka kituo cha soka cha Marsh Athletes Academy kilichokua kinasimamiwa na aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Sylvster Marsh,...
10 years ago
Mwananchi19 Nov
USAJILI: ‘First Eleven’ mpya Simba!
10 years ago
Mwananchi25 May
USAJILI: Yanga, Simba yametimia
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Simba yafunga rasmi usajili