USIJIDANGANYE, NDOA SIYO MAJARIBIO!-2
![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhm8zAYrtmkvN-gBOTRywrKwSue1ZEwOyd1gwPESh*vQZuf7lkpT0zPzDQnGbguGcwoIOlWmmZ4RfboMNGtgK4zD/mahaba.jpg?width=650)
NDOA ni kitu chenye thamani kubwa sana katika maisha ya binadamu. Jambo na la msingi zaidi kwa wahusika ambao wanahitaji kuunganika katika ndoa ni upendo. Lazima wote wawe wana hisia za kweli kutoka ndani ya mioyo yao. Ndoa si jambo la kukurupuka wala kuamua kuingia kwa maana ya kufanya majaribio. Siyo sahihi hata kidogo. Wiki iliyopita nilianza kwa kueleza mambo ya msingi ya kuzingatia wakati ukimtaka mwenzi wa maisha yako....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2jev4Up-njZKD*SGtkWNqPdfch0agdQJnlcW4fjwsoINvbUvEni6RmqWHTQ1VwSy6sNdze9qgh7Oc1o2C6qAadt/mahaba.jpg?width=650)
USIJIDANGANYE NDOA SIYO MAJARIBIO!-3
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwEXeezyPSnBwaiItWHK9H9ijS2LwLrrms4*zx*2eqTZZ7f2RVxGHHW-VHxYV3e26nU6qaH-hGpTXdBn2J-y0Xui/thea.jpg)
THEA: NDOA SIYO PETE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMvHH3wRLwwJm*wv1SM*z4Nj5LZes9pTdRTgk6wNdRx5GQDKXxZK1Qm-PTHTvCmMOPwT--GjUFmUv47aXLzLFqTp/JACKYWACHUZII.jpg?width=650)
JACK WA CHUZ: NDOA SIYO ISHU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUl0oUncw0sttvcfX8097gIx-PYC8O1PTtDUSymvxUHvJinJIEmWsv9JHq-Af0KRgeSgFsYopXaBNWQVQkY6ycpb/g.jpg)
MASTAA: WATOTO KWANZA, NDOA SIYO ISHU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmOeMteA9D6tMrPzbf8ToDxyMLJ3QQbEErRHgK-pG2AbSib8upgG69rt1ILOpP5mWWIvQd0hZnRC-7AORwvO8bcg/go4mariasharapova016.jpg?width=650)
NDOA INATAKA MAFUNZO, SIYO KUBINUA MIDOMO- 2
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQQgEJ61rRv2ng-gX5MOSg5Gnc8OrMHadSX--TPcQzfbVihZnObP*L9s19naJDvYUHKd*pcU6Q4vO16KmkC5PX53/bcouplesmile.jpg)
NDOA SIYO MWISHO WA MATATIZO, MCHUNGUZE KWANZA
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO
![](http://api.ning.com/files/sRY-hG6lRQ9NpTdO4aV0wdOVzuM2JK4kVFMyVPjpVFM57GmRtUX44oFjB7k*qq195XvYIMzdI72JE2NtTZUymuNMqFjbtonU/peny.jpeg?width=650)
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.
Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ9DwuMpq3OoUcqda50jEv8AqK1drcKTJZGJ0PhOxw-Esr57DgpjJPmudPR7i25UhNa2jT9sxvB09mwwsBVjuPHw/Penny.jpg)
PENNY: MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO