USIJIDANGANYE NDOA SIYO MAJARIBIO!-3
![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2jev4Up-njZKD*SGtkWNqPdfch0agdQJnlcW4fjwsoINvbUvEni6RmqWHTQ1VwSy6sNdze9qgh7Oc1o2C6qAadt/mahaba.jpg?width=650)
LEO tunahitimisha mada yetu. Kuna baadhi ya marafiki huingia kwenye ndoa wakiwa na matumaini ya kujifunza – hata kama hana mapenzi na mwenzi wake. Hilo ni kosa kubwa. Hakuna kujifunza ndani ya ndoa. Wiki mbili zilizopita nilifafanua mambo mengi ya msingi lakini kubwa zaidi nilikazia kuwa, ndoa si tendo la majaribio. Linahitaji kujipanga na kuwa na uhakika na mwenzi unayekwenda kuungana naye. Tuendelee kujifunza marafiki...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhm8zAYrtmkvN-gBOTRywrKwSue1ZEwOyd1gwPESh*vQZuf7lkpT0zPzDQnGbguGcwoIOlWmmZ4RfboMNGtgK4zD/mahaba.jpg?width=650)
USIJIDANGANYE, NDOA SIYO MAJARIBIO!-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwEXeezyPSnBwaiItWHK9H9ijS2LwLrrms4*zx*2eqTZZ7f2RVxGHHW-VHxYV3e26nU6qaH-hGpTXdBn2J-y0Xui/thea.jpg)
THEA: NDOA SIYO PETE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMvHH3wRLwwJm*wv1SM*z4Nj5LZes9pTdRTgk6wNdRx5GQDKXxZK1Qm-PTHTvCmMOPwT--GjUFmUv47aXLzLFqTp/JACKYWACHUZII.jpg?width=650)
JACK WA CHUZ: NDOA SIYO ISHU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUl0oUncw0sttvcfX8097gIx-PYC8O1PTtDUSymvxUHvJinJIEmWsv9JHq-Af0KRgeSgFsYopXaBNWQVQkY6ycpb/g.jpg)
MASTAA: WATOTO KWANZA, NDOA SIYO ISHU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmOeMteA9D6tMrPzbf8ToDxyMLJ3QQbEErRHgK-pG2AbSib8upgG69rt1ILOpP5mWWIvQd0hZnRC-7AORwvO8bcg/go4mariasharapova016.jpg?width=650)
NDOA INATAKA MAFUNZO, SIYO KUBINUA MIDOMO- 2
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQQgEJ61rRv2ng-gX5MOSg5Gnc8OrMHadSX--TPcQzfbVihZnObP*L9s19naJDvYUHKd*pcU6Q4vO16KmkC5PX53/bcouplesmile.jpg)
NDOA SIYO MWISHO WA MATATIZO, MCHUNGUZE KWANZA
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO
![](http://api.ning.com/files/sRY-hG6lRQ9NpTdO4aV0wdOVzuM2JK4kVFMyVPjpVFM57GmRtUX44oFjB7k*qq195XvYIMzdI72JE2NtTZUymuNMqFjbtonU/peny.jpeg?width=650)
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Mastaa wa Kike: Watoto Kwanza, Ndoa Siyo Ishu
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wamefunguka kuwa wanahitaji zaidi kupata uzao kuliko kuishi maisha ya kuolewa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, walisema suala la ndoa ni majaaliwa na si jambo unaloweza kupanga, kwa vile mwenye uwezo wa kufanya hayo yote ni Mungu, kama ilivyo katika kuamua kuzaa au la.
Coletha Raymond ‘Koletha’, alisema katika maisha ya Kitanzania,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ9DwuMpq3OoUcqda50jEv8AqK1drcKTJZGJ0PhOxw-Esr57DgpjJPmudPR7i25UhNa2jT9sxvB09mwwsBVjuPHw/Penny.jpg)
PENNY: MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO