Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA MASTAA TEMEKE… KITAELEKEWEKA TU LEO

Juma nature. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam HAYAWI hayawi, hatimaye yametimia, lile tamasha la burudani lililosubiriwa kwa hamu kubwa la Usiku wa Mastaa Temeke hatimaye litashuhudiwa leo na mashabiki wa muziki wa Kibongo, likitarajiwa kushushwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhiem jijini Dar es Salaam. Isha Mashauzi.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

USIKU WA MASTAA TEMEKE KESHO

Wanamitindo, Happiness Millen. LILE tamasha la burudani lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa la Usiku wa Mastaa Temeke, linatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhiem jijini Dar es Salaam.  Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Tamasha hilo lina lengo la kuwazawadia mastaa mbalimbali wa hapa nchini ambao wametoa mchango mkubwa katika kuiwakilisha vema Wilaya ya...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI 2014… HISTORIA KUANDIKWA UPYA

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mpira tayari kuanzisha mechi ya wabunge wa Simba na Yanga wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013, mwaka huu linafanyika Agosti 8. LILE tamasha lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki, linalotambulika kama Usiku wa Matumaini (Night of Hope), limewadia ambapo mwaka huu litafanyika Agosti 8 (Sikukuu ya Nanenane.) Mashabiki wa timu ya Bongo Muvi wakiingia uwanjani kwa mbwembwe kabla ya...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WANG’ARA TUZO ZA TEMEKE

  Ally Jay (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya kundi lake la 5 Stars. Said Fella (kushoto) akipokea moja ya tuzo alizokabidhiwa. KR Muller akipokea tuzo kwa niaba ya Juma Nature.…

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAMLIZA KAJALA USIKU, KISA..!

Imelda Mtema Machozi ya furaha! Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alijikuta akiangua kilio baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ na mastaa wenzake katika siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo lilichukua nafasi usiku wa Julai 22, mwaka huu nyumbani kwake Sinza Afrikasana jijini Dar ambapo akiwa hana hili wala lile, mastaa hao akiwemo Jacob Steven ‘JB’, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Zuwena Mohammed...

 

10 years ago

Dewji Blog

‘Usiku wa marafiki wa Lowasa’: Shetta, Dully Sykes hapatoshi Triple A usiku wa leo

shet

Wasanii nyota wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal ‘Shetta na Abdulwaheed Sykes ‘Dully Sykes’, jioni ya leo wanatarajia kupiga shoo kubwa katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu, Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa”.

Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama ‘4 U Movement’, linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha ambapo mbali na wasanii hao pia...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

10 years ago

Michuzi

Miss Temeke 2014 apatikana usiku huu,TCC Club Chang'ombe jijini Dar

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.
Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu.Mwanalibeneke Othman Michuzi akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani