Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USINZIBE MDOMO KUNA USHIRIKA WENYE SHAKA MAUAJI HAYA!

KWA mara nyingine, nchi imejikuta katika aibu nyingine ya mauaji ya kutisha dhidi ya mtoto mdogo mwenye ulemavu wa ngozi, wanaojulikana kama Albino, Yohana Bahati (1) siyo pichani yaliyotokea huko Geita hivi karibuni. Huu ni mwendelezo wa mauaji ya jamii hii ya watu, ambao kwa miaka mingi sasa, wanasadikika kuwa chanzo cha unafuu wa maisha kwa baadhi yetu.Yapo madai kwamba baadhi ya viungo vya Albino, vinawapa utajiri au nafasi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO: MIGOMO INACHOCHEWA NA MAJIBU MEPESI

Wananchi wakiwa katika maandamano. IJUMAA iliyopita ilikuwa ni siku kubwa ingawa haikuwahi kuwekwa katika kalenda hapo kabla. Ilikuwa ni siku ambayo umma kwa upana wake, ulitambua jinsi gani sekta ya usafirishaji ilivyo muhimu. Nina uhakika, mamia ya watu walipata hasara ya mamilioni ya shilingi.
Wananchi wakilala chini kuepuka athari za mabomu ya machozi. Hii ilitokana na mgomo wa madereva wa mabasi ya mikoani na daladala....

 

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO: WANATAKA KUTUFUNGA, WENYEWE WANAJILINDA!

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Bunge lilipitisha sheria ya takwimu ya mwaka 2013, inayotoa adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya shilingi milioni 10 au vyote kwa pamoja kwa mwandishi au chombo cha habari kitakachotoa kimakosa takwimu za serikali wakati wakitekeleza wajibu wao.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju. Sheria hiyo ya takwimu pia inazuia taasisi binafsi...

 

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO MZEE KINANA MBONA SIKUSOMI?

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana. Tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Novemba 2012, Abdulrahman Kinana amekuwa na staili inayonifurahisha sana. Kwa muda mfupi, amekirejesha chama tawala kule ambako kilistahili kuwa kwa siku zote.
Nilipata fursa ya kukutana naye kwa mahojiano mwanzoni tu mwa uteuzi wake ofisini kwake pale Lumumba. Nilimuuliza maswali mengi kwa kila...

 

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO VIKOSI VYA ULINZI VYAMA VYA SIASA?!

Elnest Mangu. TANZANIA tuna majeshi kadhaa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotambulika kisheria. Tunalo Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza. Chini yake, JWTZ unawakuta JKT, kwa polisi, tunao Zimamoto, FFU, Usalama barabarani (Trafiki) na Mgambo. Majeshi na vikosi hivi vina majukumu yanayofahamika na kukubalika. Kwa hiyo haishangazi tunapoona polisi wakitumika kuwakamata majambazi, ambao wakati mwingine...

 

11 years ago

Mwananchi

Kuna maana gani kupoteza mabilioni haya kwa Katiba?

Bado najiuliza na sipati majibu kwamba, inakuwaje tuteketeze Sh100 bilioni kutengeneza Katiba Mpya ya wananchi inayotokana na maoni ya wananchi wakati watawala walishaweka msimamo wao?

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana wenye vipaji ni hawa tu au kuna zengwe?

Kuna wakati wadau huridhika na mwenendo wa sanaa yetu Tanzania baada ya kuona wasanii wawili watatu, wanaendelea vizuri na kuitangaza nchi. Lakini, siyo vibaya kuangalia upande wa pili wa shilingi katika hili, muda unapopatikana.

 

9 years ago

Mwananchi

Mauaji haya ya watu yakomeshwe

Katika gazeti hili leo, kuna habari inayomhusu mwanamke wa Kijiji cha Mgunga, wilayani Igunga, Gama Jilala aliyeuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunao uwezo wa kukomesha mauaji haya

Habari za mauaji baina ya wakulima na wafugaji zimeendelea kutawala katika vyombo vya habari nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauaji haya ya Kiteto, DC Umbula anangoja nini?

RAIS Jakaya Kikwete sina hakika kama unajua kwamba wananchi takribani 30 wameshapoteza maisha wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara. Wafugaji na wakulima wanauana kwa sababu ya chuki za kibaguzi zinazodaiwa kupandikizwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani