Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usitake ukitaka sitika ni shitaka

Kwa mara nyingine tena, Bongo inaonyesha mfano mzuri wa kilimo. Sehemu nyingine, unaanza kwa kufyeka majani kwanza, kisha baada ya kuona kwamba magugu yameondolewa, ile miti na visiki vinavyozuia kilimo vinaondolewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Afutiwa shitaka la kuuza nyama ya binadamu

>Mahakama ya Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera imemfutia mashitaka ya kuuza nyama ya binadamu, Pastori Nalingi Blanketi (43) na kumhukumu mwaka mmoja jela kwa kosa la kuingia na kuishi nchini kinyume na sheria.

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDUMA AKABILIWA NA SHITAKA LA KUSHAMBULIA

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Tunduma katika Wilaya ya Momba,Mkoa Mbeya, Herode Jivava, (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na mwanasheria wake Omary Ndamungu wakiwa nje ya mahakama ya Wilaya ya Mbozi mara baada ya kesi yake kuarishwa mpaka Mei 20 mwaka huu,kutokana mashahidi kushindwa kufika mahakamani. Mwenyekiti huyo ameshitakiwa na kwa kosa la kumfanyia shambulio la mwili mwana chama cha...

 

11 years ago

Michuzi

mahakama kuu yafuta tena maombi ya sheikh ponda kuodolewa shitaka la kukaidi amri halali

MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo imefuta kwa mara ya pili maombi ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda  (pichanibaada ya kufunguliwa kwa kukiuka sheria.   Kadhalika maombi hayo yamefutwa baada ya kukiuka kifungu cha 372 kidogo cha (2) cha Mwenendo wa Sheria za Makosa ya Jinai (CPA) ambacho hakiruhusu maombi hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukitaka kufanikiwa fanya mambo kwa vitendo

Kheri ya Mwaka mpya mpendwa msomaji wangu, kwa hakikika tunapaswa kumshukuru sana Mungu kutokana na ukweli kwamba haikuwa rahisi kuuvuka mwaka, wapo wenzetu ambao hawakuweza japo walipenda.

 

10 years ago

Mwananchi

ukitaka kujua tunda bivu au limeoza unafanyaje ?

Kuna siku nilikuwa dukani nikikagua nazi kwa ajili ya kula. Nikawa nikiitikisa tikisa na kuidonoa kwa fedha, kuufahamu mlio wake. Wazungu watatu kando walinitazama wakiona kama muujiza. Nikawaambia ule ni ufundi rasmi wa Kiafrika.

 

10 years ago

Vijimambo

UKITAKA KUIPATA, SHIDA NYINGI VUMILIA, ELIMU


Ukifikia kuitwa doctor shida nyingi umepitia, hususan katika nchi za dunia ya tatu, walimu wasiokuwa nahuruma wakiwachapa bakora za mikoni bila kujali na kujua maumivu yake, mwalimu anatumia nguvu zake zote kuhakikisha anamkomesha kabisa kama atapata vidonda au kuvunjika vidole, ili mradi au ameadhibiwa tu, unajisikia vipi ukikumbuka wakati ulipokuwa shuleni na adhabu kama hizi?

 

10 years ago

Bongo Movies

Zamaradi Mtetema: Ukitaka Kuchukiwa Duniani we Kuwa Mkweli Tu…

Ukitaka kuchukiwa Duniani we KUWA MKWELI TU!!! kuwa mkweli kwa rafiki zako, kuwa mkweli kwa ndugu zako kuwa mkweli kwa wanaokuzunguka kuwa mkweli kwa jamii... mtu akikukosea mwambie kiroho safi, kitu kikikuuma ongea, kama kitu hujapenda ongea.. unaona shogaako akichemsha kitu mchane na kumuelekeza.. nk utachukiwa mpaka basi na utapewa maneno kama kimbelembele, mjuaji, mi sikipendi, ye ananjifanya hakosei... n.k


Na ukitaka kupendwa na kila mtu Duniani na wengi wawe wako we SNITCH TU.. njia...

 

11 years ago

GPL

OYA…UKITAKA KUJUA KAMA UNA MBIO, OMBA UFUMANIWE!

NIAJE… niaje kipande hiyooo…Kama kawiz kama dawa kaka mkubwa nipo kamili gado kwa jamvini kukisanua? Ama nini? Fanya kujisogeza hapa upate mastori moo. Ni tamu sana hizi stori aisee jamaa yangu. Basi mia!
Ebana eee…kabla ya mastori vipi michongo kitaa hiyo? Siyo sekreti masela tuongeze bidii ya kuzisaka mingo kwa prosesi halali. Hivi hapo mjengoni Dom mnawasoma mamemba wa katiba au mizinguo?
Kama maatisti...

 

10 years ago

Michuzi

CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO KWA SHITAKA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA,AKOSA DHAMANA, KESI YAKE KUTAJWA TENA NOVEMBA 11

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya (bongo fleva), Rashidi Abdallah Makwaro (29), maarufa kama Chid Benz, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Chid Benz amefikishwa  mapema leo saa 3:00 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashitaka yake. Saa 7:50 mchana alifikishwa mbele ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani