Utafiti wabainisha ‘ugoigoi’ wa mahudhurio kwa walimu
SHIRIKA la Hakielimu limesema asilimia 34 ya walimu ndio wanaoingia madarasani na kufundisha kwa muda wote kama inavyostahili wakati iliyobaki, ama hawaingii kabisa au huachia wanafunzi mazoezi na kuondoka.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu
11 years ago
Habarileo23 Jul
Rais aagiza ripoti za mahudhurio ya shule kila mwezi
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza wakuu wa shule zote nchini kila mwezi watoe taarifa za mahudhurio ya wanafunzi kwa maofisa Elimu.
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
KING KESTER EMENEYA: Nguli wa rhumba aliyefariki na rekodi ya mahudhurio DRC
FEBRUARI 13 mwaka huu, mashabiki na wadau wa muziki wa rhumba Afrika Mashariki na Kati, walipata pigo la aina yake, baada ya mkali wa muziki huo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia...
11 years ago
MichuziMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF YAIMARISHA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI
5 years ago
CCM BlogSERIKALI: DAWA YA CORONA AMBAYO MADAGASCAR IMETOA MSAADA KWA TANZANIA NI KWA AJILI YA UTAFITI
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof....
5 years ago
MichuziJAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI
Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .
Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.
Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Facebook matatani kwa utafiti
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Utafiti: Uongozi ni ‘hatari kwa maisha’