Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTARATIBU WA SHINDANO LA SERENGETI SUPA NYOTA MWAKA HUU WABADIRISHWA

Baada ya shindano la kusaka vipaji la serengeti Supa Nyota kuendeshwa kwa miaka miwili mwaka huu utaratibu umebadilika kidogo kwani haitohusisha washiriki wa jinsia zote na badala yake akina dada pekee ndiyo watakaoruhusiwa kushiriki Supa Nyota Diva. First Lady wa Supa Nyota mwanadada Ney Lee, anamwita first lady kwa sababu mpaka sasa hivi hakuna binti aliyewahi kushinda katika Serengeti Supa Nyota zaidi yake, ambapo amewataka akinadada wote wenye vipaji wajitokeze kwa wingi katika shindano...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MOUREEN AIBUKA SUPA STAA WA SHINDANO LA MO KIDS GOT TALENT 2013

Kijana Salum Nyangumwe (17) mshindi wa pili aliyeimba wimbo wa My Number One wa Msanii Nasib Abdul a.k.a Diamond wakati wa fainali za kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la ”MO Kids Got Talent 2013" lililofanyika mwishoni mwa Juma kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Supa Staa wa Shindano la "MO Kids Got Talent 2013"… ...

 

9 years ago

Michuzi

FAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU

 Wawezeshaji na Wadhamini wa shindano la Tanzania Movie Talent (TMT),Jaji Mkuu,Loy Sarungi(wa kwanza kutoka kushoto),Jaji katika shindano hilo Single Mtambalike(wa kwanza kutoka kushoto),Meneja Mawasiliano na Masoko wa Proin Promotion,Josephat Lukaza,Meneja Bidhaa wa Paisha,Godfrey Fataki na Meneja Masoko wa ITV,Ernest Dilli wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talent (TMT) litakalofanyika Agosti 22 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

SHINDANO LA MODEL OF TOURISM KUFANYKA NOVEMBA 22 MWAKA HUU JIJINI ARUSHA

SAM_1076Mkurugenzi mkuu hifadhi za Taifa ,Tanzania Bw. Allan Kijazi (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa shindano la Model of Tourism Tanzania mara baada ya kufanya ziara yao katika makao makuu ya TANAPA jijini Arusha.Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

CloudsFM

'SUPA NYOTA' NEY LEE AREKODI VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA YA ’NIPE MUDA’ NCHINI ZAMBIA

Msanii zao la Supa Nyota 2012 Ney Lee anaelekea kukamilisha video ya wimbo wake mpya ‘Nipe Muda’ inayofanyika nchini Zambia na kampuni ya Video ya F2K Production.

 

10 years ago

Mwananchi

Utaratibu huu wa kupitisha Katiba haufai

Marekebisho yaliyofanywa juzi na Bunge la Katiba kwenye baadhi ya kanuni zake ili kuruhusu wajumbe wake watakaokuwa nje ya Bunge wapige kura za kuamua sura au ibara za Rasimu ya Katiba umelalamikiwa na wananchi wengi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utaratibu huu utanusuru CCM 2015 — 2

JUMAPILI iliyopita nilieleza kwa kirefu chimbuko la kundi la mtandao, na leo naendelea na uchambuzi huo kwa kutazama anguko lake na nafasi ya CCM katika uchaguzi mkuu ujao 2015… Kinyume...

 

11 years ago

Mwananchi

Utaratibu wa mazishi ya Mandela huu hapa

Kamati ya Maandalizi ya Mazishi ya Kiongozi wa Wazalendo wa Afrika Kusini,Nelson Mandela imeanza kupanga utaratibu wa mapokezi ya wageni mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya kiongozi huyo nchini Afrika Kusini.

 

9 years ago

Dewji Blog

Shindano la Serengeti Masta lahitimishwa kanda ya ziwa

2b

Mshindi wa jumla washindanola Serengeti Masta kwa wakazi wa kanda ya ziwa Said Kanolo (kushoto) akipokea fedha taslim Tsh. 100,000/= kutoka kwa Afisa mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Joan Semguruma, (kulia) wakati wa shindano la mwisho kwa kanda ya ziwa la bia hiyo lililofanyika katika baa ya Shooters iliyopo Barabara ya Airport jijini Mwanza. Ushindi wa jumla wa Bw. Kanolo kwa wateja wa kanda ya ziwa umekuja baada ya kuwashinda wateja wengi walioshiriki katika kutambua ladha halisi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Fiesta ‘Super Nyota Divas’ kutua Dar

WASANII wa kike 15 (Super Nyota Divas) waliopatikana katika Tamasha la Serengeti Fiesta kutoka mikoa mbalimbali nchi wanatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam kushuhudia shoo ya msanii wa Marekani T.i...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani