Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uuzaji wa Tiketi za Madola waahirishwa

Uuuzaji wa Tiketi za michezo ya jumuia ya madola umeahirishwa kufuatia hitilafu ya mitambo iliyozuia kuuzwa kwa tiketi laki moja

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TFF wabadili mfumo uuzaji tiketi

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limedai kuwa mchezo wa leo wa Yanga na Mgambo Shooting tiketi za elektroniki hazitauzwa kwenye magari kama ilivyozoeleka.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa CAR waahirishwa

Wajumbe kwenye mkutano huo wanasema walitakiwa kuendelea na mkutano usiku kucha ili kubuni mkakati kuhusu mustakabali wa rais wa taifa hilo Michel Djotodia.

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Kwela waahirishwa

UCHAGUZI wa ubunge katika Jimbo la Kwela wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa umeahirishwa kutokana na wananchi wa kata ya Milepa jimboni humo kushindwa kupiga kura baada ya vifaa vyote vya kupigia kura kuteketezwa kwa moto.

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TFF WAAHIRISHWA

Mkutano Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliokuwa ufanyike Tanga ikiwamo shughuli ya uwekaji jiwe la msingi kwenye kiwanja cha TFF jijini Tanga sasa umeahirishwa kwa muda usiojulikana.
Mwishoni mwa mwezi Novemba 2015, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) mkoa wa wa Ilala ulitoa agizo la kufungwa na kuchukuliwa fedha kutoka kwenye akaunti za Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) ili kulipa fedha zaidi ya shilingi bilioni 1.6, sehemu kubwa ikiwa ni malipo ya kutoka kwenye mishahara...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa bunge waahirishwa Misri

Tume ya uchaguzi yabadilisha ratiba ya uchaguzi wa wabunge kufuatia uamuzi wa mahakama

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Handeni mjini waahirishwa TZ

Uchaguzi wa ubunge katika jimbo la Handeni mjini nchini Tanzania umeahirishwa kufuatia kifo cha mgombea wa eneo hilo Daktari Abdallah O Kigoda.

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA LOWASSA WAAHIRISHWA TUNDUMA

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi Tunduma leo Jumamosi tarehe 17/10/2015, ikiwa ni mwendelezo wa kampeni zake lakini mkutano huo uliahirishwa baada ya kutokea matatizo ya kiufundi ambapo vipasa sauti vilivyoandaliwa kwa ajili ya kutumika katika mkutano huo kugoma kutoa sauti hata hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda na ndipo ililazimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akaahirisha mkutano huo, hadi kesho...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu waahirishwa Nigeria

Tume ya uchaguzi nchini Nigeria imeahirisha uchaguzi kutokana na sababu za kiusalama.

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI WA BURUNDI WAAHIRISHWA TENA

Askari wakiimarisha ulinzi wakati wa uchaguzi wa wabunge nchini Burundi. Taaswira za hali ya amani nchini Burundi. Msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi, Gervais Abayeho amesema kuwa, uchaguzi wa rais nchini humo uliopangwa kufanyika julai 15 umeahirishwa tena kwa mara nyingine na badala yake utafanyika Julai 21 mwaka huu. Uchaguzi huo umekumbwa na utata baada ya makundi ya upinzani nchini humo kuandamana na kupinga hatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani