Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWT waonywa kuhusu vijembe, watakiwa kupendana

DSC07695

Mwenyekiti wa CCM mkoani Singida, Mgana Msindai.

 Na Nathaniel Limu

JUMUIYA ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) mkoani Singida wametakiwa kuacha tabia ya kupeana vijembe wenyewe kwa wenyewe na badala yake wajenge tabia ya kupendana ili kukiletea nguvu na ushindi chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwezi Oktoba na uchaguzi mkuu mwakani.

Mwenyekiti wa CCM mkoani Singida, Mgana Msindai, amewaasa wanawake hao katika kongamano la siku tatu la umoja wa Wanawake...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanasiasa waonywa kuhusu urani

WANASIASA wametakiwa kuzingatia utafiti na ushauri wa kitaalamu, kabla ya kuruhusu kuanzishwa kwa migodi ya uchimbaji wa madini ya urani, yaliyogundulika katika maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waonywa kuhusu amani

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba.VIONGOZI wa dini, wanasiasa na wazee nchini wamewaonya Watanzania kujiepusha na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara Lindi waonywa kuhusu kodi

Johnson MinjaWAFANYABIASHARA mjini Lindi wameshauriwa kulipa kodi stahiki za Serikali kuisaidia kunyanyua uchumi wa taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Wakazi mikoa ya Kusini waonywa kuhusu mvua

Agness Kijazi MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini(TMA) imehadharisha wakazi wa mikoa ya Kusini, kutokana na kile ilichosema utabiri unaonesha kuanzia mwezi huu hadi Machi, itapata mvua juu ya wastani zinazoweza kusababisha mafuriko.

 

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WAISHIO UGHAIBUNI KUPENDANA

 Wanawake wa kitanzania waishio Ughaibuni wamewatakiwa kuondoa tofauti zao za mitizamo, maoni, dini na makabila bali wapendane, kuaminiana na kushirikiana ili kwa pamoja waweze kukabiliana na changamoto mbalimbali  zinazowakabili na hivyo kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa  jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wafanya biashara na wajasiriamali  kutoka majimbo ya Washington DC, Wilaya ya Colombia, Maryland na Virginia katika ukumbi wa mikutano wa ubalozi wa...

 

5 years ago

Michuzi

wananchi watakiwa kuelimishana kuhusu corona.


Na Woinde Shizza,ARUSHA
Chama Cha wafanyabiashara ( TCCIA)Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Trade Mark East Africa na TRIAS kimegawa vifaa kinga vyenye thamani ya sh,mil. 4 kwenye masoko matatu katika jiji la Arusha kama njia Moja wapo ya kupambana na maambikizo ya ugonjwa hatari wa Corona na kuunga mkono jitihada za serikali dhidi ya ugonjwa huo.
Akikabidhi vifaa hivyo zikiwemo ndoo za maji ya kutiririka,vitakasa mikono na Barakao ,mwenyekiti wa TCCIA ,Wolter Maeda aliwataka...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUTODANYWA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Vyama vya Siasa vinavyounda TCD, Mhe. John Cheyo.
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD Mhe. John Cheyo amewataka Watanzania kutodanganywa kuhusiana na mchakato mzima wa kusaka Katiba Mpya.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mhe. Cheyo wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha asubuhi cha Jambo kinachorushwa na Televisheni ya Shirika la Habari Tanzania (TBC).
Mhe....

 

10 years ago

Habarileo

Maofisa habari watakiwa kutoa elimu kuhusu DART

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umetaka maofisa habari na mawasiliano wa taasisi zinazoguswa moja kwa moja na mradi huo, kusaidia kutoa elimu na taarifa sahihi kwa wananchi juu ya uendeshaji na usimamizi wake.

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Jumanne Sagini wakati akizungumza na watendaji mbalimbali wa ofisi hiyo leo katika mkutano wa kikazi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Karimjee jijini Dares Salaam , ambapo lengo kuu lilikuwa ni kutoa maelekezo ya utendaji kazi kama ilivyoagizwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Afya -TAMISEMI ,Dkt .Deo Mutasiwa .Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani