Video: Hamisi Kamanda — Tulia
Video mpya kutoka kwa msanii Hamisi Kamanda wimbo unaitwa “Tulia”. Audio imetaalishwa katika studio za Harshbase Recods zilizopo jijini Mwanza na video imetayalishwa na Director Kenny Ukiyz. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/btJIkJUCzk4/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-qUqDOy0OYqg/VRCVz9R50hI/AAAAAAADdhE/aKd1e9w3nEo/s72-c/HAMISI%2BALLY%2BHAMISI%2Baka%2BMzawa%2Bwa%2BKariakoo.jpg)
HAPPY BIRTHDAY MDAU HAMISI ALLY HAMISI AKA MZAWA WA KARIAKOO
![](http://1.bp.blogspot.com/-qUqDOy0OYqg/VRCVz9R50hI/AAAAAAADdhE/aKd1e9w3nEo/s1600/HAMISI%2BALLY%2BHAMISI%2Baka%2BMzawa%2Bwa%2BKariakoo.jpg)
alizaliwa siku kama ya leo 24 March,mtaa mchikichi/kongo st.18 Kariakoo jijini Dar
akiwa mtoto wa kiume wa alekuwa mchezaji kandanda wa timu za Benfrika,Kongo United "Shetani Wekundu" marehem Bw.Ally Hamisi Ally(RIP) aka De Stefano.
Hongera sana kijana Hamisi Ally Hamisi kwa siku yako ya Kuzaliwa na endeleza kipaji chako cha kandanda
wadau mnaweza...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-U1jMnPXHsl4/VRBx6fO3wlI/AAAAAAAHMlc/GPEUMY2_XUc/s72-c/unnamed.jpg)
Hepi Besdei ya kuzaliwa mdau Hamisi Ally Hamisi
![](http://4.bp.blogspot.com/-U1jMnPXHsl4/VRBx6fO3wlI/AAAAAAAHMlc/GPEUMY2_XUc/s1600/unnamed.jpg)
Hongera sana kijana Hamisi Ally Hamisi kwa siku yako ya Kuzaliwa na endeleza kipaji chako cha...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s72-c/unnamed+(3).jpg)
HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s1600/unnamed+(3).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-pSD6_MD-GF8/VWRz-LKJdsI/AAAAAAADou0/x88hW4zhcuM/s72-c/M2LqY4EQ.jpg)
Dr Hamisi Kingwangala amjibu Lowassa
![](http://1.bp.blogspot.com/-pSD6_MD-GF8/VWRz-LKJdsI/AAAAAAADou0/x88hW4zhcuM/s640/M2LqY4EQ.jpg)
Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.
Mimi nilianza kushiriki siasa toka nikiwa mdogo sana. Kuanzia Chipukizi, Greenguard wa UVCCM na baadaye UVCCM. Miaka ya mwanzo ya 90 nilivutiwa sana na mijadala ya mfumo wa vyama vingi ama kimoja. Nakumbuka, binafsi nilivutiwa zaidi na mfumo wa kutanua demokrasia, nakumbuka nilichangia hoja zangu kwenye mkutano wa tume pale Nzega mjini, viwanja vya parking pembeni ya jukwaa. Wengi kwa hakika hawakuunga mkono mfumo wa vyama vingi. Waliamini...
9 years ago
The Star14 Sep
Hamisi albino attacked for his body parts
The Star
The Star
Soft target: Nixon Lugadiru, Enock Jamenya, 56, and Bungoma nominated MCA Martin Wanyonyi on Friday at the Vihiga District Hospital. JOSEPH JAMENYA. September 14, 2015. A person living with albinism in Hamisi, Vihiga county, was attacked last week ...
10 years ago
Mwananchi10 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Dk Hamisi Kigwangalla
>Kufaidika: Nimekuwa mtetezi na sauti yenu siku zote. Kuhusu kuridhika, hilo ni gumu kidogo, maana ni uamuzi wa mtu, ila haya machache yafuatayo ndiyo niliyojitahidi kuyafuatilia na kuyasimamia.
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Dk. Tulia: Wasaliti watadhibitiwa
Katika toleo lililopita tuliwaletea mahojiano kati ya Naibu Spika Dk.
Waandishi Wetu
11 years ago
Michuzi10 Jun
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania