Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video:Mtoto aliyekafa na akafufuka wakati anapelekwa kuzikwa

Waombolezaji nchini Ufilipino walipatwa na mshituko, pale mtoto wa miaka mitatu aliyekuwa amekufa na kuzinduka wakati wanampeleka mazikoni. Kwa mujibu wa mtandao wa Mirror mtoto huyo kutoka Aurora, Zamboanga del Sur, alitangazwa kufa siku ya Ijumaa, na maziko kupangwa Jumamosi mchana. Lakini wakati wa shughuli ya msiba, ndugu na marafiki walishtushwa wakati mtoto huyo alipofufuka. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyefariki baharini kuzikwa leo

Mwili wa mtoto uliopatikana ufuoni mwa bahari Uturuki atazikwa leo nyumban kwao baada ya babake kuruhusiwa kuchukua mwili wake

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mtoto wa boksi’ kuzikwa leo, ndugu wa babake wajitokeza

Ndugu wa baba wa mtoto, Nasra Mvungi (4) aliyefariki dunia usiku wa kuamkia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jana walijitokeza wakitaka wapewe mwili wa marehemu kwa ajili ya maziko.

 

11 years ago

GPL

‘MTOTO WA BOKSI’ KUAGWA, KUZIKWA LEO MORO

Mtoto Nasra Rashid (4) enzi za uhai wake. MWILI wa mtoto Nasra Rashid (4) utaagwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuanzia saa 2 hadi saa 3 asubuhi leo. Mwili huo baadaye utazikwa katika makaburi ya Kola, mkoani humo. Nasra alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili Juni 1, mwaka huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akitibiwa baada ya kuugua kutokana na kuishi kwenye boksi kwa muda wa miaka… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto Tabia Mkulukute apoteza maisha baada ya kugongwa na gari na kuzikwa leo Bunju ‘A’

Mtoto Tabia ambaye aliyegongwa na gari Pichani mwenye gauni la njano, enzi ya uhai wake.


Gari la  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge lilivyoharibiwa.

Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge  akizungumza na wanahabari mkasa ulivyo tokea kama alivyoona.

2 (3)

Maeneo ya jirani ya kituo hicho taswira ilivyokuwa ikionekana.

Wananchi wakiwa ng’ambo ya Barabara wakiangalia jinsi kituo kilivyochomwa moto.

Mwanahabari Jamaly Hashimu wa kituo cha TBC akipata taarifa...

 

10 years ago

GPL

MTOTO TABIA MKULUKUTE ALIYEFARIKI JANA BAADA YA KUGONGWA NA GARI BUNJU 'A' , KUZIKWA LEO

 Mtoto Tabia aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Bunju  A ambaye aligongwa na gari (mwenye gauni la njano) enzi ya uhai wake.   Gari la  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdillah Mkeyenge lilivyo haribiwa  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdallah Mkeyenge  akizungumza na wanahabari namna ambavyo mkasa huo… ...

 

11 years ago

CloudsFM

MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI KWA MIAKA MINNE KUZIKWA KWA HESHIMA ZOTE,KUAGWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MOROGORO

Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.


Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel Aligaeshi.


Mwishoni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wakati Wengine Wanakula Ujana Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Pili Hivi Karibuni!

Mwigizaji wa filamu  Flora Mvungi, ambae ni mke wa mwanamziki  H.Baba anatarajia kujifungua mtoto wa pili hivi karibuni ikiwa ni moja ya mafanikio ya ndoa  yao kwa mwaka jana.

H baba amabe ndio mumeo  amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili.

Akizungumza na 255 ya XXL jana, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake.

“Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani