Viera apigiwa upatu kumrithi Pellegrini
Patrick Viera anaungwa mkono na wachezaji wengi wa kilabu ya Manchester City kumrithi Manuel Pellegrini iwapo atafutwa kazi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Ikangaa apigiwa debe ‘kumrithi’ Malinzi uenyekiti wa BMT
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Sunderland kumrudia Viera?
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Magufuli apigiwa kampeni na Mrema
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema mara baada ya kukutana njia panda ya Himo.
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema akizungumza mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM na kuwataka wananchi wa Vunjo kumpigia kura mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwani ni rafiki wa kweli kwa maendeleo ya...
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Viera aorodheshwa kuifunza Newcastle
10 years ago
Habarileo03 Oct
Samia apigiwa chapuo Umakamu wa Rais
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba jana walisifu uongozi uliooneshwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu na kupendekeza ikiwezekana katika hiyo dhana ya uwakilishi sawa maarufu 50/50, ateuliwe kuwa Mgombea Mwenza wa mgombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Viera kocha mpya wa New York City
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Viera awania umeneja Newcastle United
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Fred Minziro apigiwa chapuo kurejea Yanga
10 years ago
MichuziSpika Makinda apigiwa chapuo Urais Bunge la SADC
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongea na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Bunge la SADC Mhe. Sylvianne Valmont kutoka Bunge la Ushelisheli alipokutana nae wakati wa Mkutano wa 36 wa Umoja huo unaoendelea Mjini Victoria Falls Zimbabwe. Makinda anagombea nafasi ya Urais wa Chama hicho. Kati ni Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mhe. Adadi Rajabu.Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikiliza akiwa katika mazungumzo na Mjumbe kutoka Bunge la Swaziland Mhe. Sikhumbazo Ndlovu kuhusu nia...