Vijana Kenya wanavyotumiwa na magaidi wa Al-Shabaab
>Milipuko ya mabomu ya kurusha kwa mkono imekuwa sehemu ya maisha nchini Kenya siku hizi. Awali, habari za milipuko sampuli hii zilikuwa zinatangazwa mno na vyombo vya habari lakini si hivyo sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Mabuu wanavyotumiwa kwa matibabu Kenya
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Kenyatta:Kenya haitatikiswa na magaidi
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Magaidi waua watu 6 Kenya
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
70 wahusishwa na Al Shabaab Kenya
10 years ago
BBCSwahili14 Jun
Al shabaab 13 wameuawa Kenya
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Polisi 2 wauawa na Al-Shabaab Kenya
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Al Shabaab wazua mjadala Kenya
10 years ago
Mtanzania27 May
Al Shabaab waua polisi 25 Kenya
NAIROBI, KENYA
KUNDI la wana mgambo wa Al Shabaab la Somalia, linadaiwa kuwaua polisi 25 wa Kenya jana.
Inaelezwa kuwa wanamgambo hao walivamia magari ya polisi katika eneo la Yumbis wilayani Fafi, Kaunti ya Garissa.
Hadi jana jioni, hakukuwa na taarifa inayoeleza waliko polisi walionusurika baada ya shambulio hilo la kushtukiza.
Taarifa zilizochapishwa na gazeti la Daily Nation, zilisema maofisa watatu walionusurika shambulio hilo walisema magari manne ya polisi yaliteketezwa na wanamgambo...
10 years ago
BBCSwahili26 May
Polisi wapambana na Al shabaab Kenya