Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA LIMENI NA KUUZA POPOTE, SERIKALI HAITOWAINGILIA-BASHE


Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano la vijana katika kilimo linaloshirikisha vijana kutoka mikoa ya Geita,Shinyanga na Kagera katika ukumbi wa Mshikamano SACCOS,Chato.Mkuu wa wilaya ya Chato Charles Kabeho akitoa salamau za mkoa wa Geita kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo,wakati wa ufunguzi wa kongamano la vijana katika kilimo wilayani Chato leo.Meneja Mawasiliano wa Kanda ya Ziwa Mahusianao na Serikali wa NMB Bi.Suma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Vijana wajitosa kuuza Mbao Tanzania

Nguvu kazi inayotumika katika kukata miti na kupasua mbao wilayani mufindi mkoani Iringa nyanda za juu kusini inatoka kwa vijana.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuuza jenereta 32 za msaada

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kuuza jenereta 32 ambazo zilitolewa kama msaada na nchi washirika wa maendeleo kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la ukosefu wa umeme mwaka 2010.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali ya kijiji Ruvu yadaiwa kuuza shamba kinyemela


Na Mwamvua Mwinyi,Pwani
WANANCHI wa kitongoji cha Ruvu darajani, wilayani Bagamoyo, wameilalamikia serikali ya muda ya kitongoji cha Ruvu, kata ya Vigwaza,  kwa kuuza shamba la ekari 10 mali ya kijiji.
Imeelezwa kuwa shamba hilo limeuzwa kwa maslahi binafsi na bila kuwashirikisha wana kijiji.
Mwana kijiji, Athumani Mkali, alisema  uongozi wa muda wa kijiji cha Ruvu kuuza eneo hilo ni batili. “ Ukizingatia pia baadhi ya wananchi wengi hawana maeneo ya makazi na mashamba, leo eneo linauzwa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kileo akana kuuza nyumba ya Serikali Mbeya mjini

Mkazi wa Mbeya, Sinbonea Kileo anasema hakuuza nyumba aliyouziwa na Serikali, badala yake nyumba hiyo iliuzwa kwa amri ya Mahakama ya Wilaya ya Mbeya Mjini baada ya kuachana na mkewe.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yakamilisha mchakato kimataifa Kuuza Nje Bidhaa Zinazosindikwa

 

Serikali inakamilisha mchakato wa kuingia katika biashara ya kimataifa kwa kuuza nje ya nchi bidhaa za kilimo zinazosindikwa nchini badala ya kuuza ghafi.

Katika kukamilisha hilo, wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, utalii na usindikaji wa ndani na nje ya nchi wameshiriki mkutano wa siku moja uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa siku moja uliofanyika Dar es Salaam, umejadili fursa na tija mbalimbali za biashara ya kimataifa kwa nchi masikini na zinazoendelea, ikiwemo...

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI YA KUSIKITISHA NA KUTISHA KUHUSU VIJANA WETU WANAOKWENDA CHINA NA HONGKONG KUUZA MADAWA YA KULEVYA SOMA HABARI KAMILI LIVE!

Mkurugenzi wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP), Godfrey Nzowa.Magareza mbalimbali ya China, Hong Kong na Macau yamefurika Watanzania wanaojihusisha na dawa za kulevya.Wanakuja kwa makundi. Wake kwa waume, vijana kwa wazee, wenye elimu na historia tofauti za kimaisha... lakini kilichowaleta China, Hong Kong na Macau ni kimoja tu; biashara ya dawa za kulevya. Hawa ni zaidi ya Watanzania 130 ambao wamefungwa katika magereza mbalimbali kwenye nchi za...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Imewataka wanaouza Bidhaa za Kujikinga dhidi ya Covid-19, Kuuza kwa Bei iliyoko Sokoni


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu bidhaa za kujinga na Covid-19, ambapo baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakipandisha bei, Waziri amewataka waache hiyo tabia kabla ya kuchukuliwa hatua kali, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS. Dkt. Ngenya, na kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Ushindani (FCC), John Mduma katika mkutano na Waanshi wa Habari Jijini Dar es Salaam.

 ========  ========  =======
Serikali kupitia...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI IMEWATAKA WANAOUZA BIDHAA ZA KUJIKINGA DHIDI YA CORONA-19, KUUZA KWA BEI ILIYOKO SOKONI

   Na. Mwandishi Wetu-MAELEZOSerikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto na Taasisi mbalimbali za Serikali imejipanga vyema kukabiliana na changamoto zinazohusiana na mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona (Covid-19).
Katika kuhakikisha changamoto hizo zinatatuliwa jana Waziri Innocent Bashungwa ametembelea viwanda vinavyozalisha sabuni na Vitakasa mikono vilivyoko Jijini Dar es Salaam kuangalia bei ya bidhaa hiyo na...

 

10 years ago

Habarileo

Bashe: Achaneni na wapinzani, watatugawa

MGOMBEA ubunge wa CCM katika Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe, amesema wapinzani wanataka kuwagawa wananchi kwa misingi ya udini na ukabila hivyo amewataka wananchi wasimchague mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani