Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana waliokamatwa danguroni waachiwa Misri

Mahakama nchini Misri, imewafutia mashitaka wanaume 26 waliokamatwa baada ya msako wa polisi katika jumba au danguro la wanaume na kjushitakiwa kwa kosa la kuchochea watu kutenda uovu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Vijana 70 wahukumiwa vifungo Misri.

Mahakama moja nchini Misri imewahukumu vifungo gerezani vijana 70, kwa kuhusika kupanga mkutano na kundi lililopigwa marufuku.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliokamatwa si Al Shabaab — Polisi

JESHI la Polisi nchini limekanusha kwamba watuhumiwa 14 waliokamatwa na kufikishwa mahakamani mkoani Arusha hawahusiki na kundi la Al-Shabaab kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapo jana. Akizungumza...

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi waliokamatwa Zanzibar wafariki dunia

Watuhumiwa wawili wa ujambazi waliokamatwa Zanzibar juzi na kupigwa na wananchi na askari wa Kikosi cha Kupambana na Ujambazi, wamefariki dunia wakati wakiwahishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja, Zanzibar kwa matibabu.

 

11 years ago

Mwananchi

Waliokamatwa na dawa za kulevya KIA kortini

Raia watatu wa kigeni waliokamatwa hivi karibuni kwa nyakati tofauti katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA), wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kusomewa mashtaka matatu tofauti.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatua kali kwa wanaharakati waliokamatwa DRC

Waziri wa Habari Lambert Mende amesema wanaharataki ambao wanaozuiliwa waliletwa ndani ya nchi ili kuongoza maasi dhidi ya serikali.

 

11 years ago

Michuzi

WAPAKISTANI WALIOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA WATOROKA NCHINI

Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux.
 Imeelezwa kwamba Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa  wakiwa  na  Watanzania  wanaotuhumiwa kwa kukutwa  na  madawa ya kulevya wametoroka nchini. 
Watuhumiwa hao walikamatwa Februari 21, 2011wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya  shilingi  bilioni 6.2,  Mbezi Beach  maeneo ya  Jogoo  jijini Dar sa Salaam.Habari za uchunguzi ndani ya Mahakama Kuu zinasema kuwa, Jaji Grace Mwakipesile anayesikiliza kesi  hiyo ...

 

10 years ago

GPL

MWALIMU NA WENZAKE WATANO WALIOKAMATWA NA MIFUPA YA ALBINO

Bilia Masanja Mhalala. Mwalimu wa Shule ya Msingi Katunguru wilayani Kahama, Bahati Kilungu Maziku. Abubakar Ally Magazi.…

 

11 years ago

CloudsFM

HAWA NDIYO 'PANYA ROAD' WALIOKAMATWA NA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanya msako wa nyumba kwa nyumba, mtaa na maeneo yaliyoathirika kwa hofu ya vijana ambao ni vibaka maarufu kama Mbwa mwitu au Panya Road. Msako huu uliofanyika ndani ya masaa 24 hadi alfajiri ya tarehe 26/5/2014 kwa lengo la kuwaondolea hofu na uhalifu dhidi ya makundi ya vijana wadogo wasio na ajira ambao uliibuka hivi karibuni.Maeneo yaliyoathirika ni Kigogo, Magomeni, Tabata, maeneo yote yanayozunguka mto Msimbazi, maeneo ya Mbagala nk....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Makada 12 CHADEMA waachiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana makada 12 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliokamatwa na kutuhumiwa kufanya maandamano karibu na Ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani