Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi watakiwa kumuezi Dk. Omar kwa vitendo

UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) umewataka viongozi wa kisiasa na kiserikali nchini  kuiga kwa vitendo tabia ya ujasiri, uthubutu na ushupavu aliyokuwa nayo aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wananchi watakiwa kuuchukia uhalifu kwa vitendo

Na Frank Geofray-Jeshi la PolisiWananchi wametakiwa kuuchukia uhalifu kwa vitendo pamoja na kuwa na kauli moja katika kupambana nao kwa kushirikiana na jeshi la polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili kukomesha vitendo hivyo hapa nchini.
Hayo yalisemwa jana  na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua semina ya siku moja katika ukumbi wa Nkurumah iliyokuwa na kauli mbiu ya Kataa uhalifu iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya Jeshi la Polisi na...

 

5 years ago

CCM Blog

WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO SERIKALI DHIDI YA VITENDO VYA KIKATILI HASA KWA WANAWAKE NA WTOTO

  Na Mwandishi Wetu TaboraMkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka wananchi wa Mkoa huo kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya kikatili hasa kwa wanawake na watoto.
Mkuu wa mkoa huyo ameyasema hayo jana mkoani humo wakati akiupokea Msafara wa Kijinsia kutokomeza ukatili unaolenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara ya kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Kitaifa Simiyu Machi 08,...

 

9 years ago

StarTV

Wananchi watakiwa kuwafichua wahalifu ili kupunguza vitendo hivyo

Jeshi la Polisi nchini limewataka wananchi  kuchukia vitendo vya uhalifu kwa kuwafichua wahalifu ambao wanaishi nao majumbani mwao Ili kupunguza na kukomesha vitendo vya uhalifu hapa nchini

Wito huo  umetolewa na naibu kamishina wa polisi na aliyekuwa kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza  Charles Mkumbo katika sherehe ya kuwaaga maofisa  watano wa  polisi  waliohamishiwa mikoa mbambali wakitokea mkoa wa kipolisi wa Tarime na Rorya na kuwakaribisha maaofisa watano waliohamia katika mkoa...

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini walalamikia vitendo vya rushwa Kasulu

VIONGOZI wa dini katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma wamewalalamikia baadhi ya watendaji wa Serikali wilayani hapo, mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kuwa wamekithiri kwa vitendo vya rushwa, hali inayotishia haki ya wananchi wa wilaya hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi watakiwa kuitisha vikao

VIONGOZI wa vijiji, kata na wilaya, wametakiwa kuitisha vikao vya kisheria kwa wakati, ili kutoa taarifa ya hali ya mambo yanavyoendelea na hivyo kujenga imani na wananchi wanaowaongoza. Ushauri huo...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi watakiwa kutomlilia Mandela

Wasomi wanasema njia pekee ya kumuenzi Nelson Mandela ni kutekeleza yote aliyoyafanya kwa vitendo, siyo kuomboleza kwa kulia.

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa Afrika watakiwa kushirikiana

VIONGOZI wa nchi za Afrika wametakiwa kudumisha ushirikiano baina ya nchi zao ili wafikie maendeleo na kutoiga tabia ya viongozi wa zamani ya kutothamini ushirikiano, kwa kuwa inadumaza maendeleo, licha ya nchi zao kuwa na uhuru.

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wababaishaji watakiwa kujipima

Viongozi wanaojiona wameshindwa kuleta maendeleo katika maeneo yao wametakiwa kujipima kama wanafaa kuendelea kuongoza na wakijiona hawafanyi lolote waachie ngazi mapema ama wasgombee tena uongozi kwa kuwa wanarudisha nyuma maendeleo ya wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuwakwepa wanasiasa

VIONGOZI wa dini wametakiwa kuwa wavumilivu na kuacha mabishano na wanasiasa ili kuepusha mvurugano unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani