Viongozi watakiwa kutomlilia Mandela
Wasomi wanasema njia pekee ya kumuenzi Nelson Mandela ni kutekeleza yote aliyoyafanya kwa vitendo, siyo kuomboleza kwa kulia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Viongozi Afrika na kivuli cha Mandela
LEO shujaa mwingine mwana wa Afrika, Nelson Mandela (Madiba) anazikwa rasmi kijijini kwake ikiwa ni safari yake ya mwisho hapa duniani. Madiba atabaki kwenye kumbukumbu zetu kama mpigania uhuru aliyekomboa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Mandela ni kioo cha viongozi wote duniani
MARAIS na viongozi wote duniani, ni muhimu wakajipima na kujitazama mwenendo na sura ya utawala walionao kwa kujiangalia kwa kupitia baba wa taifa la Afrika Kusini na nembo ya Afrika,...
10 years ago
Habarileo01 Aug
Viongozi wa Afrika watakiwa kushirikiana
VIONGOZI wa nchi za Afrika wametakiwa kudumisha ushirikiano baina ya nchi zao ili wafikie maendeleo na kutoiga tabia ya viongozi wa zamani ya kutothamini ushirikiano, kwa kuwa inadumaza maendeleo, licha ya nchi zao kuwa na uhuru.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Viongozi watakiwa kuitisha vikao
VIONGOZI wa vijiji, kata na wilaya, wametakiwa kuitisha vikao vya kisheria kwa wakati, ili kutoa taarifa ya hali ya mambo yanavyoendelea na hivyo kujenga imani na wananchi wanaowaongoza. Ushauri huo...
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Viongozi wababaishaji watakiwa kujipima
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Askofu Tutu: Viongozi wa dunia hatuna budi kumuenzi Mandela
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Viongozi serikalini watakiwa kutoshiriki siasa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Shirika la Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika (SAHRiNGON) wametaka viongozi wa serikali kutoshiriki katika kampeni na kuwaachia wanasiasa wenyewe. Mratibu...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Viongozi watakiwa kutopuuza taasisi za dini
VIONGOZI wa Serikali, wametakiwa kutopuuza mialiko kutoka Taasisi za kidini kwani katika shughuli hizo za kijamii hutumika kufikisha changamoto zao ambazo zinahitaji ufumbuzi. Ombi hilo limetolewa mjini Kibaha juzi, wakati...
9 years ago
Habarileo13 Oct
Viongozi wa dini watakiwa kuwakwepa wanasiasa
VIONGOZI wa dini wametakiwa kuwa wavumilivu na kuacha mabishano na wanasiasa ili kuepusha mvurugano unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi.