Vipodozi feki vyaharibiwa
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imelifunga ghala la vipodozi visivyo na ubora na kuteketeza shehena yenye thamani ya Sh7 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Nov
TFDA yanasa vipodozi, vyakula feki
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Vipodozi feki vyakamatwa katika bandari ya Zanzibar!
Maafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakifungua moja ya Boxi lenye Vipozi vyenye Kemikali ambavyo vimepigwa marufuku kutumika duniani baada ya kuvikama Bandarini vikitokea Marekani na Italy.
Na Miza Kona-MAELEZO
[ZANZIBAR] Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi imekamata vipodozi haramu katika Bandari Kuu ya Malindi Zanzibar ambavyo vimepigwa marufuku kuingizwa nchini.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari huko Ofini Mombasa Mkaguzi wa Bodi hiyo Nassir Buheti amesema vipodozi...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Jinsi ya kuanzisha biashara ya vipodozi
11 years ago
Mwananchi12 Sep
Wengi hutumia vipodozi sumu
10 years ago
Habarileo09 Jan
Vipodozi tishio afya za Watanzania
IMEELEZWA kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania, sawa na watu milioni 31.5, wako hatarini kupata magonjwa ya ngozi, kutokana na kutumia vipodozi visivyo sahihi.
10 years ago
Habarileo15 Nov
TFDA yateketeza tani 6 za vipodozi
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Kanda ya Kati Dodoma (TFDA), imeteketeza vipodozi vyenye viambata vya sumu vyenye uzito wa tani tano na nusu vyenye thamani ya zaidi la Sh milioni 48.
9 years ago
Mwananchi15 Dec
TFDA yateketeza shehena ya vipodozi
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Vipodozi hatari vyaligharimu taifa
MKURUGENZI wa Uendeshaji Huduma kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Dk. Sikubwambo Ngendabanka, amesema matumizi ya vipodozi vyenye kemikali ni janga la kitaifa linaloisababishia serikali hasara ya mabilioni fedha...
11 years ago
Habarileo07 Aug
Vipodozi vilivyopigwa marufuku vyauzwa Dar
LICHA ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kupiga marufuku vipodozi vyenye viambata vya sumu, vimeendelea kuuzwa katika masoko yaliyopo jijini hapa huku vingine vikiisha muda wake.